Jinsi nilivyoibiwa gari kizembe bar

Ila kuna jamaa hapa jirani kwangu aliibiwa 2017,kapiga tungi wakati wa kurudi home akapaki pembeni kwenda kukojoa ,kurudi ndani ya gari mambo yamemzidi akapiga usingizi hata milango ipo wazi ,wakaja wahuni wakamsukuma tu nje wakawasha gari Harrier ikaenda kirahisi hadi leo hajapata
 
sasa mm niliibiwa simu na pesa kwa mtindo uo uo
 
Yuko mwingine Sinza, enzi zile unatoa gari bandarini bila namba, namba unaifuatilia kesho yake. Jamaa kaja home na mark two mayai haina namba Wala bima. Kufika home waif Yuko jikoni, jamaa kwa Raha alizokua nazo kamchukua binti yake wskaenda duka la jirani kununua vitu ili ajipongeze. Wahuni nao kumbe wanamfuata, alipotoka kwenye gari hakufunga milango na lok. Ile anatoka na kibinti wakati wanaagizwa vitu dukani wahuni wakaingia kwa gari na spare key ambayo waliuziwa na walinzi bandarini kwa Bei ndogo tu. Wakawasha gari ikiwa na dokoment zote na kutokomea kusikojulikana.
 

Ha ha 2018, umefuata mrembo Maryland huyo mrembo hawezi kuwa mrembo haswa haswa Kama unavyosema asababishe wewe kuibiwa gari...mrembo wa hizo sifa umkute Maryland Bora hata governors
 
wahuni walishasoma mchezo vizuri , aisee inaumiza lakini
 
wahuni walishasoma mchezo vizuri , aisee inaumiza lakini
Walinzi wa bandari hua wanawauzia zile funguo za akiba majambazi na siku gari inatoka bandari wanawatonya kwamba Ile Subaru tuliyokupa ufunguo wake Leo inatoka. Basi ukitoka geti 2 unakua unafuatiliwa tu. Fanya kosa ingia bar.
 
Stori imejaa chumvi nyingi na ichanganywa na unga wa mhogo.

Majambazi wapige risasi hewani kwenye umma, wakimbie, wafike huko warudi tena eneo lile lile tena mwenge.

Sawa bwana.
kweli aisee maaana kuna risk ya polisi kuwa tayari wamefika eneo la tukio. Jamaa katupiga chai bila sukari
 
Kwahyo somo la uzinzi hukulipata eee? Maana hilo ndo chanzo. Sasa na kuambia uzinzi na divai mpya ninoma.
 
Mambo ya kulewa kizembe hayo😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…