Jinsi nilivyoibiwa gari kizembe bar

Hahaha Pole ila sehemu zote ulizoenda kunajaaga watu wa michongo tu
Ndomana mtu mjanja ukimuambia mkutane sehemu hizo labda muonge biashara faster
Ana badili gia angani

Ova
Alienda kuringishia gari jipya, hata shombe ilikuwa ni muendelezo wa kipya kinyemi!
 
Hii story ni ya uwongo. Majambazi warudi sehemu ya tukio baada ya dakika chache kufanya uhalifu mpya? Ni gari aina gani hiyo yenye fingerprint sensor kama sehemu ya ignition? Toyota ndiyo kwanza wametumia hii technology kwenye 2022 Landcruiser.
 
Hahaha Pole ila sehemu zote ulizoenda kunajaaga watu wa michongo tu
Ndomana mtu mjanja ukimuambia mkutane sehemu hizo labda muonge biashara faster
Ana badili gia angani

Ova

Mtu akikwambia mkutane nae hapo unakubali, kisha mida ikikaribia unampa coordinate nyingine kabisa.

Heri ya mwaka mpya kiongozi.
 
kumbe ulikuwa ni wewe,una bahati sana dogo ulitukosesha hela ya sikukuu
 
Nimejifunza kitu hapa
 
Umekosea kidogo, ungeanza na neno "Hadithi hadithi" ili tuweze kufikia "Hadithi njoo utamu ukolee" [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Tutafute hela tununue TESLA cars na nduguze.Hakuna wezi watakaoiba hizo gari labda wakauze matairi. Nawaonea wivu sana wamarekani wana enjoy magari yao bila bughda za vibaka.
Wenye heka nunueni magari yanayotumia umeme na AI system.
RIP car bandits!
 
Eti jambazi wakapiga risasi juu wakaondoka alafu wakarudi tena [emoji23][emoji23][emoji23] Aise hii movie gani?
 
Mara ya kwanza wanaondoka na gari liliwakaje wakati wewe wamekuacha bar? Hata Elon Musk na Bill Gates hawana gari lenye kuwaka kwa fingerprints.
 
Duh hii hatari, huu ujinga wa kukata bima ndogo ngoja niachane nao kabla hayajanikuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…