Jinsi nilivyokataliwa na hawa vijana

Daah umenikumbusha mbali:

2016 kuna wadada wawili walinitokea aisee

Kipindi hicho niko kwenye penzi zito na mdada mmoja ivi

Si nikawakataa eti nina mtu

Miaka miwili mbele Nikajapigwa kibuti na yule mdada.

Ikabidi nirudi kwa wale nao wakanikataa kabisa..niliumia sana

Kwa sasa napitia vibuti natamani siku zirudi nyuma
 
Weka picha yako tuone,kama kweli ulikuwa pisi Kali. Weka hata kwa kuficha sura. Iwe picha ya kusimama na miguu mpaka vidole vionekane kwa wazi. Maana nathaminishaga mpaka kwenye miguu na vidole

Mimi ni kabaya ndugu uzi ufungwe tu
 

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ye wa kwanza ulipogundua hakufikishiwa ujumbe je ulimpa au ulighairi maana halikuwa kosa,lake?
 
Story yako kama yangu tu, mimi na sister wangu ila sio tumbo moja tulikua tunasoma darasa moja.

kipindi nipo form two ndo niliamiaga hiyo shule aliyokuwa anasoma huyu ndugu yangu wa kike,tulikua tunasoma darasa moja.

Tulivoingia form 3 tukatengana madarasa sister yeye alikua kwenye masomo ya biashara, Kuna shoga ake na sister alikuaga ananipenda sana anaitwa zawadi

Huyo dem alikua anakujaga sana hom kwa shoga yake yaanib(sister wangu)kumbe huyo dem ndo alikua ananifukuzia mimi[emoji23].

Nikaja kusikia stor kwamba me natembea na zawadi, mpka darasani ikawa ndo story nataniwa sana wakati hata sijawahi kutoka na huyo zawad. Yaani hata mazoea hatuna zaid ya salam. Kumbe huyo zawad ndo aliwaambia madem wenzake kwamba jbst ni mchumba wangu na sister alikua anajua kinachoendelea ila anakausha.

Huyo zawad akawa anajiletaga sna tu hom anajifanya kuja kumtembelea shoga ake kumbe hana lolote ananifukuzia ananitaka. Kipindi hicho tupo form four sasa ikaja ikatokea tukazoeana kama ma rafik maana sister ndo kama alituunganisha kishkaji.

Yule zawad sikuwahi mtongoza ila alikua anaitega sana nimtongoze, tulikuwa tunachart ananichatisha sana sio kawaida ila sikuwahi mtongoza, mpaka tunamliza form 4 sikumtongozaga tukaja kupoteana maana aliondokaga na akawa hapatikanagi.

Ikapita miaka 5 siku moja naperuzi FB nikawa naangalia walioniomba urafiki maana walikua wengi kama 30 hivi,mimi huwa nakubali urafiki mtu mpaka nimkague kwanza picha zake au vitu anavyopost kama nikivielewa nikiona haeleweki nafuta na kama hajaweka picha nafuta pia.

Yule zawad nikaona picha yake kumbe aliniomba urafki mda tu nikamcheki messenger tukabadilishana na namba tukatumiana picha siku hiyo nilijikuta nampenda na kumtaman sana ila nikakausha kwanza.

Nikaona kesho yake status kampost brother mmoja anaonekana ndo mtu wake kutokana na caption aliyoandika, alafu jamaa anaonekana kanizidi hata uchumi maana nilikua najitafuta

Nikaanza utaratibu wa kumtongoza zawadi nisijechelewa zaidi, aliniambia ukwel nimechelwa na ana mtu wake wanakaribia kuoana!! Akasema ananipenda hata yeye ila nimechelewa akanimbia alianza kunipenda toka tupo shule ila ndo nilikua najifanya Mgumu simuelewi. Nikamjibu ulikua utoto dah!

Nilikubaliana na hali halisi tukabaki washkaji tu japo huwa ananitafuta sana yeye kuliko mimi kumtafuta kwenye sim ,ananiona kama rafk tu na mimi nilishakubaliana na ukweli tunaheshimiana tu.

Ila roho iliniuma sana nikajuta sana bora ningemlaga kipindi kile, dem pisi kali balaaa nimeikosa
 
Mwanaume umtongoze akatae? Atakataa kukuoa siyo kula papuchi aisee

Mwanaume umtongoze akatae? Atakataa kukuoa siyo kula papuchi aisee
Huwa husomi nyuzi humu humu jf zinazoletwa na baadhi ya wanaume waliowakataa wanawake waliotongozwa nao huku wakitoa visingizio vya ustaarabu. Mwanaume akiwa hana nguvu sawasawa lazima amkwepe mwanamke.

Hiyo nadharia yamo inawork kwa malijali kamili tu sio kila mwanaume.
 
Tangu ameolewa na huyo jamaa wana miaka mingapi,kama alikuelewa na mnawasiliana ni suala la muda tu
 
Uje kwangu nikulowaze
 
Yaani mwanaume akatae pisi kali??

Jiangalie vizuri mkuu, yaani wanaume unawatongoza halafu unakula cha mbavu, sijawahi ona hii.
Hata ile umeonesha interest ya kumtaka mwamba halafu yeye hajisogezi kwako hata kidogo alooo jitafakari huenda huvutii.
 
Sana man👊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…