Django Doer
JF-Expert Member
- Jun 30, 2023
- 2,865
- 5,184
Hahaha DuuuhSawa je kuhusu mkataba au nimakubaliano ya Dp world ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha DuuuhSawa je kuhusu mkataba au nimakubaliano ya Dp world ?
Naam DepalWa kwanza
Huyo kaka nilikuwa nampenda mpk namuogopa yaani naona aibu nilikuwa natetemeka hata akinisemesha nikikutana nae na mkwepa👈
Siku hiyo tumekaa nikamkumbuka P ikabidi nimtege shoga angu vipi leo twende tukatembetembee hostel za kina P uzuri na yeye alikuwa na mishe za kwenda huko akasema jioni tutaenda… Kweli bhn jioni yake tukaendaa mpk hostel za kina P👈
Ikabidi mimi ndio nianze kazi ya kumtongoza na nyimbo za maua Sama ile ya mwenzako nakuelewa 👈
👉kilichokuja kunikera kwake ni yeye kumwambia rafiki angu kuwa nimemtongoza aisee nilijisikia vibaya sana… nikamtoa moyoni na nikamwambia kwamba sikupenda kama alikuwa hanitaki asingemueleza best angu
🤫 Wale tuliosomea Cuba tunaonekana mabingwa wa kutongoza kwakuwa njiani hatuhangaiki na our inner emotions peke yake huwa tunakuwa makini pia kusoma emotions za viumbe vingine tunavyokutana navyo.
MAGUFULI4LIFE.
NakaziaSidhani kama ulikuwa ni pisi kali kama wale jamaa rafiki zake na hendsamu walivyokuwa wanakujaza... Unaonekana wa kawaida tu ndio maana attempt zako zote ziligoma. Ungekuwa mzuri wala isingekuwa rahisi wanaume wote kuchomoa.
Uongo. Wengine hatulagi uozo aseeeMwanaume umtongoze akatae? Atakataa kukuoa siyo kula papuchi aisee
🤣🤣🤣🤣Umenikumbusha Olevel kuna demu 1 alijichanganya kwangu, nkamuonesha picha za maex wangu wote then nkamuuliza kuna hata mmoja hapo umemzidi chochote? Kanichukia mpaka leo sijui hata yupo wapi hahahaha!
HahahaSidhani kama ulikuwa ni pisi kali kama wale jamaa rafiki zake na hendsamu walivyokuwa wanakujaza... Unaonekana wa kawaida tu ndio maana attempt zako zote ziligoma. Ungekuwa mzuri wala isingekuwa rahisi wanaume wote kuchomoa.