Jinsi nilivyokataliwa na hawa vijana

Jinsi nilivyokataliwa na hawa vijana

Wa kwanza
Huyo kaka nilikuwa nampenda mpk namuogopa yaani naona aibu nilikuwa natetemeka hata akinisemesha nikikutana nae na mkwepa👈

Siku hiyo tumekaa nikamkumbuka P ikabidi nimtege shoga angu vipi leo twende tukatembetembee hostel za kina P uzuri na yeye alikuwa na mishe za kwenda huko akasema jioni tutaenda… Kweli bhn jioni yake tukaendaa mpk hostel za kina P👈

Ikabidi mimi ndio nianze kazi ya kumtongoza na nyimbo za maua Sama ile ya mwenzako nakuelewa 👈

👉kilichokuja kunikera kwake ni yeye kumwambia rafiki angu kuwa nimemtongoza aisee nilijisikia vibaya sana… nikamtoa moyoni na nikamwambia kwamba sikupenda kama alikuwa hanitaki asingemueleza best angu

🤫 Wale tuliosomea Cuba tunaonekana mabingwa wa kutongoza kwakuwa njiani hatuhangaiki na our inner emotions peke yake huwa tunakuwa makini pia kusoma emotions za viumbe vingine tunavyokutana navyo.




MAGUFULI4LIFE.
Naam Depal
 
Sidhani kama ulikuwa ni pisi kali kama wale jamaa rafiki zake na hendsamu walivyokuwa wanakujaza... Unaonekana wa kawaida tu ndio maana attempt zako zote ziligoma. Ungekuwa mzuri wala isingekuwa rahisi wanaume wote kuchomoa.
Nakazia
 
Umenikumbusha Olevel kuna demu 1 alijichanganya kwangu, nkamuonesha picha za maex wangu wote then nkamuuliza kuna hata mmoja hapo umemzidi chochote? Kanichukia mpaka leo sijui hata yupo wapi hahahaha!
🤣🤣🤣🤣
 
Sidhani kama ulikuwa ni pisi kali kama wale jamaa rafiki zake na hendsamu walivyokuwa wanakujaza... Unaonekana wa kawaida tu ndio maana attempt zako zote ziligoma. Ungekuwa mzuri wala isingekuwa rahisi wanaume wote kuchomoa.
Hahaha
 
Back
Top Bottom