So lovely πndio sili tu ilimradi nmekula nna thaminisha kwanza
Utamfanya ajihisi vbaya sanasio kila nyama ni ya kula. N muhimu kuzishinda tamaa pia. Yupo dada mmoja wa kimbulu anakuja kwa kasi sana ila siwezi kula ata tubaki humu dunian mimi na yeye.
Sasa anayetongoza hana mvuto hata kdogo labda.Nikisikia mwanaume anakataa mwanamke nashangaa sana maana ni nadra sana kutokea. Pole mkuu siku nyingine usiwatongoze wawekee mazingira waanze wenyewe
Ulikuwa domo zegeStory yako kama yangu tu, mimi na sister wangu ila sio tumbo moja tulikua tunasoma darasa moja.
kipindi nipo form two ndo niliamiaga hiyo shule aliyokuwa anasoma huyu ndugu yangu wa kike,tulikua tunasoma darasa moja.
Tulivoingia form 3 tukatengana madarasa sister yeye alikua kwenye masomo ya biashara, Kuna shoga ake na sister alikuaga ananipenda sana anaitwa zawadi
Huyo dem alikua anakujaga sana hom kwa shoga yake yaanib(sister wangu)kumbe huyo dem ndo alikua ananifukuzia mimi[emoji23].
Nikaja kusikia stor kwamba me natembea na zawadi, mpka darasani ikawa ndo story nataniwa sana wakati hata sijawahi kutoka na huyo zawad. Yaani hata mazoea hatuna zaid ya salam. Kumbe huyo zawad ndo aliwaambia madem wenzake kwamba jbst ni mchumba wangu na sister alikua anajua kinachoendelea ila anakausha.
Huyo zawad akawa anajiletaga sna tu hom anajifanya kuja kumtembelea shoga ake kumbe hana lolote ananifukuzia ananitaka. Kipindi hicho tupo form four sasa ikaja ikatokea tukazoeana kama ma rafik maana sister ndo kama alituunganisha kishkaji.
Yule zawad sikuwahi mtongoza ila alikua anaitega sana nimtongoze, tulikuwa tunachart ananichatisha sana sio kawaida ila sikuwahi mtongoza, mpaka tunamliza form 4 sikumtongozaga tukaja kupoteana maana aliondokaga na akawa hapatikanagi.
Ikapita miaka 5 siku moja naperuzi FB nikawa naangalia walioniomba urafiki maana walikua wengi kama 30 hivi,mimi huwa nakubali urafiki mtu mpaka nimkague kwanza picha zake au vitu anavyopost kama nikivielewa nikiona haeleweki nafuta na kama hajaweka picha nafuta pia.
Yule zawad nikaona picha yake kumbe aliniomba urafki mda tu nikamcheki messenger tukabadilishana na namba tukatumiana picha siku hiyo nilijikuta nampenda na kumtaman sana ila nikakausha kwanza.
Nikaona kesho yake status kampost brother mmoja anaonekana ndo mtu wake kutokana na caption aliyoandika, alafu jamaa anaonekana kanizidi hata uchumi maana nilikua najitafuta
Nikaanza utaratibu wa kumtongoza zawadi nisijechelewa zaidi, aliniambia ukwel nimechelwa na ana mtu wake wanakaribia kuoana!! Akasema ananipenda hata yeye ila nimechelewa akanimbia alianza kunipenda toka tupo shule ila ndo nilikua najifanya Mgumu simuelewi. Nikamjibu ulikua utoto dah!
Nilikubaliana na hali halisi tukabaki washkaji tu japo huwa ananitafuta sana yeye kuliko mimi kumtafuta kwenye sim ,ananiona kama rafk tu na mimi nilishakubaliana na ukweli tunaheshimiana tu.
Ila roho iliniuma sana nikajuta sana bora ningemlaga kipindi kile, dem pisi kali balaaa nimeikosa
Duh [emoji23][emoji1787][emoji23]Sijui uzuri wa mtu upo wapi
Ila nimesikia uzuri wa mtu upo machoni pa mtu mwenyewe
Kingine huyu kijana wa pili ni kati ya wale vijana waaminifu ukizingatia ni msabato nahisi aliona dhambi
Huyo wa kwqnza tulikuwq wqtoto halafu kipindi hicho nilikuwaga kabaya kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anyway mimi kweli ni kabaya sio tu ka kawaida
Bahat za kutongozwa kama hizi sjui kwann sisi wengin hatupat kudadekiThrowback
Zamani hizo nishawahi kutongoza wakaka wawili
Wa kwanza
Huyo kaka nilikuwa nampenda mpk namuogopa yaani naona aibu nilikuwa natetemeka hata akinisemesha nikikutana nae na mkwepa
Nikamtuma best angu akamwambie mimi nimekufa kwake nimeoza [emoji23][emoji23] Yule mbwa alienda kumtongoza yeye akawa ana date nae sasa nikawa najiuliza yule kaka ina maana kanikataa ama⦠baadae nikaja kugundua ilikuwa ni nyege maana ndio nilianza kukuakuaa kipindi hicho
Yule jamaa tulivyokuwa wakubwa ndio alikuja kuniambia kwamba ujumbe haikufikishwaa badala yake niliemtuma aliniibia
Wa Pili
Kaka mmoja wa kisabato yule kaka ni handsome halafu ni wale tall na dark halafu ndevu zipo nikiwa niko first year yeye yupo mwaka wa 4 kwa mara ya kwanza tulikutana cafeteria weeee nilimpenda palepale alikuwa na best ake uzuri ukaja best ake alikuwa anafahamiana na best yangu akaja kumsalimia
Kijana nilievutiwa nae tumwite P yeye alibaki kwa mbali hakutusogelea pale tulipo basi wakasalimiana na rafiki angu wakaondokaa..
Nipo hostel na best yangu nikamuuliza habari za wale vijana ila P hakuwa akimjua alisema tu huwa anamuonaona tu pamoja na huyo best ake..
Siku hiyo tumekaa nikamkumbuka P ikabidi nimtege shoga angu vipi leo twende tukatembetembee hostel za kina P uzuri na yeye alikuwa na mishe za kwenda huko akasema jioni tutaenda⦠Kweli bhn jioni yake tukaendaa mpk hostel za kina P
Tulipoingia room tukawakuta vijana wengine tu wanapiga story wakatukaribisha tukakaa pale rafiki angu alikuwa msemaji mimi kwa kuwa sikuwa nawajua nilikua kimya tu najisemea moyoni mbona P hatokei
Tulikaa kama dk 10 nikamuuliza best angu mbona yule kijana simuonii?? Yeye akaniuliza kijana gani nikamwambia yule wa siku ile cafeteria si akaCheka kwa nguvu wale vijana wakasikia[emoji3][emoji3]
Ikabidi wamuulize vipi akawaambia namuulizia P weee jamani mashemeji ni wanoko kama unavojua wanaume kwa unafki wakachukua simu wakampigia
Oyaa kaka njoo huku kuna Pisi kali anakuuliziaa [emoji1787]Nyie jmn niliona aibu
Aisee P hakuchukua hata dk 5 akaingia room[emoji15] kumbe chumba chake kilikuwa floor ya juu tu
Basi bhn alivoingia nikaanza kujifichaficha si unajua tena aibu za kike[emoji6][emoji6] Wenzie wakaanza Mamamzungu uliekuwa unamuulizia kaja wee nilitamani kukimbia
Yule kaka alinisogelea mpk nilipokaa akanisalimia vizuri akaiuliza jina langu tukabadilishana namba akawa ananipigisha story mimi sasa ndio mpolee
Baada ya kurudi hostel zetu .. nikachukua simu yangu maana niliicha hostel (Mimi huwa sitembei na simu kubwa mara chache sana unikute barabarani nimeshika smartphone)β¦ Nikaingia WhatsApp nikakuta P kanicheki
Tukachart chart basi lile likaka lilacs hata halinitongozi [emoji38][emoji38][emoji38]
Ikabidi mimi ndio nianze kazi ya kumtongoza na nyimbo za maua Sama ile ya mwenzako nakuelewa [emoji16][emoji16]
Ni hivi tulikuwa na urafiki but hakuwa kunitongozaa mpk anamaliza chuo.. kilichokuja kunikera kwake ni yeye kumwambia rafiki angu kuwa nimemtongoza aisee nilijisikia vibaya sana⦠nikamtoa moyoni na nikamwambia kwamba sikupenda kama alikuwa hanitaki asingemueleza best angu
Tangu siku hiyo mazoea yakaisha nikafuta namba yake alikuwa akinitafuta sijibu⦠imepita miaka mingi sasa tunawasiliana vizuri halafu sasa ndio ananitongoza nimemwambia tu hapana kwasasa sina hisia nae kabisaa
NB: Yule Kijana alikuwaga na demu wake niliambiwaga na best ake ndio maana aka ananikwepaa [emoji38][emoji38][emoji38]
ItakuaSasa anayetongoza hana mvuto hata kdogo labda.
Sina hizo tabia za kuhangaika na wake za watu , wanawake wapo wengi sanaTangu ameolewa na huyo jamaa wana miaka mingapi,kama alikuelewa na mnawasiliana ni suala la muda tu
Hakuwa moyoni mwangu nilikua nampendaga mtu mwngne kabsa kipind hichoUlikuwa domo zege
π π π π πSawa je kuhusu mkataba au nimakubaliano ya Dp world ?
Lipia TANGAZOThrowback
Zamani hizo nishawahi kutongoza wakaka wawili
Wa kwanza
Huyo kaka nilikuwa nampenda mpk namuogopa yaani naona aibu nilikuwa natetemeka hata akinisemesha nikikutana nae na mkwepa
Nikamtuma best angu akamwambie mimi nimekufa kwake nimeoza [emoji23][emoji23] Yule mbwa alienda kumtongoza yeye akawa ana date nae sasa nikawa najiuliza yule kaka ina maana kanikataa ama⦠baadae nikaja kugundua ilikuwa ni nyege maana ndio nilianza kukuakuaa kipindi hicho
Yule jamaa tulivyokuwa wakubwa ndio alikuja kuniambia kwamba ujumbe haikufikishwaa badala yake niliemtuma aliniibia
Wa Pili
Kaka mmoja wa kisabato yule kaka ni handsome halafu ni wale tall na dark halafu ndevu zipo nikiwa niko first year yeye yupo mwaka wa 4 kwa mara ya kwanza tulikutana cafeteria weeee nilimpenda palepale alikuwa na best ake uzuri ukaja best ake alikuwa anafahamiana na best yangu akaja kumsalimia
Kijana nilievutiwa nae tumwite P yeye alibaki kwa mbali hakutusogelea pale tulipo basi wakasalimiana na rafiki angu wakaondokaa..
Nipo hostel na best yangu nikamuuliza habari za wale vijana ila P hakuwa akimjua alisema tu huwa anamuonaona tu pamoja na huyo best ake..
Siku hiyo tumekaa nikamkumbuka P ikabidi nimtege shoga angu vipi leo twende tukatembetembee hostel za kina P uzuri na yeye alikuwa na mishe za kwenda huko akasema jioni tutaenda⦠Kweli bhn jioni yake tukaendaa mpk hostel za kina P
Tulipoingia room tukawakuta vijana wengine tu wanapiga story wakatukaribisha tukakaa pale rafiki angu alikuwa msemaji mimi kwa kuwa sikuwa nawajua nilikua kimya tu najisemea moyoni mbona P hatokei
Tulikaa kama dk 10 nikamuuliza best angu mbona yule kijana simuonii?? Yeye akaniuliza kijana gani nikamwambia yule wa siku ile cafeteria si akaCheka kwa nguvu wale vijana wakasikia[emoji3][emoji3]
Ikabidi wamuulize vipi akawaambia namuulizia P weee jamani mashemeji ni wanoko kama unavojua wanaume kwa unafki wakachukua simu wakampigia
Oyaa kaka njoo huku kuna Pisi kali anakuuliziaa [emoji1787]Nyie jmn niliona aibu
Aisee P hakuchukua hata dk 5 akaingia room[emoji15] kumbe chumba chake kilikuwa floor ya juu tu
Basi bhn alivoingia nikaanza kujifichaficha si unajua tena aibu za kike[emoji6][emoji6] Wenzie wakaanza Mamamzungu uliekuwa unamuulizia kaja wee nilitamani kukimbia
Yule kaka alinisogelea mpk nilipokaa akanisalimia vizuri akaiuliza jina langu tukabadilishana namba akawa ananipigisha story mimi sasa ndio mpolee
Baada ya kurudi hostel zetu .. nikachukua simu yangu maana niliicha hostel (Mimi huwa sitembei na simu kubwa mara chache sana unikute barabarani nimeshika smartphone)β¦ Nikaingia WhatsApp nikakuta P kanicheki
Tukachart chart basi lile likaka lilacs hata halinitongozi [emoji38][emoji38][emoji38]
Ikabidi mimi ndio nianze kazi ya kumtongoza na nyimbo za maua Sama ile ya mwenzako nakuelewa [emoji16][emoji16]
Ni hivi tulikuwa na urafiki but hakuwa kunitongozaa mpk anamaliza chuo.. kilichokuja kunikera kwake ni yeye kumwambia rafiki angu kuwa nimemtongoza aisee nilijisikia vibaya sana⦠nikamtoa moyoni na nikamwambia kwamba sikupenda kama alikuwa hanitaki asingemueleza best angu
Tangu siku hiyo mazoea yakaisha nikafuta namba yake alikuwa akinitafuta sijibu⦠imepita miaka mingi sasa tunawasiliana vizuri halafu sasa ndio ananitongoza nimemwambia tu hapana kwasasa sina hisia nae kabisaa
NB: Yule Kijana alikuwaga na demu wake niliambiwaga na best ake ndio maana aka ananikwepaa [emoji38][emoji38][emoji38]
Asante Mkuu, hapa tunakuja kupunguza upweke maana Tanzania hatuna vituo vya kulelea Wazee kama Ulaya.Ooh hongera mkuu umekula chumvi
Haukutongoza bali ulijiyongozeshaZamani hizo nishawahi kutongoza wakaka wawili
Naomi mwavimbiKuna katoto kalinipenda kanaitwa Naomi. Nikakakubalia .
I swear sijawahi date na mdada mzuri kama yule. Unajua uzuri mkuu??
Mixer kalinipa nafasi nikabikiri. Kalinipenda haswa.
Naomi nakupenda milele ila natafuta Hela zaidi maana hela ndo zilikukimbiza. Ila mimi natafuta legacy yangu .
Anyway nina damu mbaya na wadada tena mabikra toka shule. Ofcoz me ni kauzu badman mmoja hivi. An Alpha male
Siyo huyoNaomi mwavimbi
π€π€π€π€πππ Sawa mkuuu... Ila una bahat aiseeSiyo huyo