Jinsi nilivyokataliwa na hawa vijana

Sisemi weupe ndo wazuri hapana
ila midada meusi minene inajuaga kutongoza sana
 
Nikisikia mwanaume anakataa mwanamke nashangaa sana maana ni nadra sana kutokea. Pole mkuu siku nyingine usiwatongoze wawekee mazingira waanze wenyewe
Mimi huwa nawakataa Sana Tu. Hata awe pisi Kali vipi. Nikimkubali ujue ndio naoa huyo huyoooo[emoji3]
 
Wanawake utongozaji wenu hua unanikosha sana, sitosahau nilipgwa vocal na bubu
 
Sijaelewa hata....
Yaani uwe muhuni ndio utawapata wengi .
Yaani usiwe wa kubembeleza mwanamke mara umpe maua, kumtafuta mara kwa mara, kuwa busy na kujenga life lako .
Ukiwa wa kusikuliza na kufuata nyimbo za kulialia na kutekeleza wanayoimba kina matonya na kina jux basi ww utabaki kulia.

Jiulize kwa nn vijana wahuni kuchukua pisi kali zote?
 
Dah kipindi niko chuo nilikua napenda papuchi kinoma.ila kuna watoto walikua wakijirahisha hao nilikua hata hamu nao cnaa hata awe mzur vip.
Nilijazwa ujinga kua wanaume wanatakiwa kua ma hunter tuh [emoji249]..manina zao wale washauri [emoji23]
 
Sikumfanyia hvyo coz mimi sina dada. Nilimjibu nilichomjibu kwasababu ni mbaya! Siwezi kudate demu mbaya abadan.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yaani nimecheka kama mazuri ha ha ha sio vizuri, kwahiyo wenye sura za Baba zao tukae pembeni!
 
Mostly,men's are very cheap!imekuwaje wamekukataa?hao viumbe ukiwaangalia tu Kwa jicho la huruma Yuko tayari🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wapo vijana wenye huruma huwa wanazoazoa tu, all they care about is kuchakata mbususu tu.
Kama hujaoa ndugu yangu utakuja angukia pua hutaamini ha ha ha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…