Jinsi nilivyokuwa nadhani nimeokoka kumbe ni wakala wa ibilisi kanisani

Nawaogopa sana watu wanajifanya wameokoka,au watu wanaojifanya wanamjua Mungu mkizinguana kidogo tu utackia namwachia Mungu pasipo kutambua Mungu ni Mungu wa haki
 
Watu wema wanaishi mtaani kwa wema mkuu. Huko makanisani mmejazana wachawi na majambazi watupu PUMBAVU ZENU. Hamna huruma na pesa zetu sisi wafyatua matofali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…