Kasha potelea kusiko julikana , moja ya mipango yangu ndani ya mwaka huu , ni kwamba nisijisumbue kufuatilia story yoyote ndani humu , ona sasa sijui nini kimenikuta mbaka nikaanza kuifuatilia story hii , natabaki nateska tu na kiu jamaa hata haendelei tujue mwishoe ikawaje .
Aisee ukiwa na mali na umri umeenda Acha kabisa kaa mbali na watoto wadogo awachelewi kumuita mtoa roho.
Mke wa kwanza uliyechuma nae nadra Sana kukuua wa pili chance ni 75% Ili arithi mali na ampendae