Jinsi nilivyomuokoa mzee mmoja na njama za kutaka kuuawa na kijana wake

Nyakati hatari hizi za watu kupenda hela kuliko utu, unawezaje kula mke wa babsko au mchepuko wake?
Ila mara nyingi wanaopendaga Mali za dhuluma huwa ni akili ndogo na wavivu
Elimu ndogo kuhusu maisha
 
JF watuwekee option ya kuzuia comments. Story nzuri.... ukuchelewa mwenye siti namba moja adandie aendeleze...
 
Dunia ni tambara bovu Dada yangu. Mungu atusaidie kwa kweli.
Nyakati za hatari pia sikuhizi malezi wazazi wanapuuzia Imani Matokeo yake ndio haya, utu wa wengi Hawana, Mungu atusaidie kwa kweli
 
Inaendelea...... Basi baada ya kuona yule bwana mdogo amenisababishia zengwe, na Mimi nikaona sasa ni bora niwalipue yeye na hawara yake.
Baada ya kupokewa na maswali mazito mazito na wale walinzi wa yale maeneo, maana mwanzoni nilizani yupo mmoja kumbe walikuwa wapo wanne na kumbe siku chache zilizopita eneo hilo walifanyiwa bonge la ambush na majambazi, hivyo walikuwa makini sana na kila kinachokaribia maeneo yao.

Ilikuwa nusura yangu kubwa sana kusogea maeneo hayo huku nikipiga hodi kwa sauti kubwa maana kama ningependa Kama naingia pale nyegezi stand ya mabasi wangenishona shaba wale wazee.
Nashukuru Mungu walinielewa na kuniamini, japokuwa usiku kucha sikulala ilibidi iwe macho macho, mimi siwaamini wao hawaniamini. Kulipokucha Sasa nikapatiwa maelekezo ya jinsi yakuondoka maeneo hayo, kwa sharti la kila nilichokiona yaani mali za pale nifanye Kama sijaona chochote, yaani ni sawa na kuwa kipofu, wewe hauoni lolote lile.

Safari kurudi home ikaanza Sasa, ikumbukwe simu sina, pesa sina muda huo nilikuwa na nguo zangu na kende tu... Itaendelea....

Tusonge mbele Sasa, kichwani nilikuwa na maswali kibao, ikafikia wakati nikajiona mjinga sana, yaani milioni mbili na nusu, mara laki tano na tena laki mbili ya kupozwa baada ya kulambwa makofi na mzee wa mskaji ndio Leo hii zinataka kunitoa roho kweli?? Hapana nikifika tu town nalivuruga chaap..
Aisee nilitembea kinyama, wale mabaunsa walinipeleka mbali sana na viboko kibao nilikula.
WADAU NILIENDELEZE STORY? Nasubili maamuzi yenu hapa.
 
Duh
 
Usiendelee unaizingua unaandika kifala, una andika kwa visentesi viwili viwili tu ndo nini sasa? Amdika yote story iishe au acha kabisa kuandika tusome story zingine maana zipo nyingi tu.
 

Hii chenga. Kajipange kwanza.
 
Endelea mkuu.

Kwa ushauri tu ungeandika yote pembeni halafu paste hapa mkuu.

Ila kama unataka uzi uwe mrefu na likes nyingi basi hii unayotumia sasa ni nzuri.
 
Usiendelee unaizingua unaandika kifala, una andika kwa visentesi viwili viwili tu ndo nini sasa? Amdika yote story iishe au acha kabisa kuandika tusome story zingine maana zipo nyingi tu.
Boss mimi mwenyewe muhanga ndugu yangu, hivyo nilitaka kulisongesha tu hili story ndio maana nimeomba ridhaa yenu mkuu 666 namba ya shetani.
 
Acha tu kuiendeleza maana tunajua mwisho wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…