Jinsi nilivyonyanyuka tena baada ya kuanguka kimaisha

Ni kweli mkuu kipindi nipo ground nimejifunza jambo kubwa sana wazazi ni watu pekee utakua nao kwenye shida na raha ya kweli mm wazee wangu ni marafiki zangu wakubwa
 
Mbona wewe tulikusubiri toka Kigoma hadi Bagamoyo
Alisumbua sana watu siku ile! 😁😁😁 Kuna baadhi ya wadau hawakulala kabisa siku ile, ili kumpokea kijana kutoka Kigoma!!

Kumbe kijana alikuwa anawarusha tu roho wadau! Maana kesho yake alikuja na stori ya uongo eti kafikia kwa jamaa mwenye hulka za kishoga! Sijui kambeba kwenye bajaj......!!! 😁😁😁 Baadae mchunga ng'ombe akatuambia yuko Chuo Kikuu cha Kiislam Morogoro 🤔
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mie watu wanao toa stori za mafanikio ya kilimo na washangaa jambo moja wanafanikiwa kupitia kilimo tena hapo wanakikimbia haraka kufungua biashara mjini badala yakuendeleza hicho kilima awe kwenye large scale production, kwanini wanakikimbia?
 
Apo kwenye wazazi apo ... mzee shukuru mungu tu umepata wazaz kama unaosema ww...
Kuna mading makauzu ndugu yang acha tu ....
 
Rudi kweny kilimo mjini unafata nini na una mashamba
 
Big up! Unatufindisha namna ya kupambana bila kukata tamaa. Wanaokupuuza mwisho watakusalimia kwa heshima.
 
mi naona kijijini pana lipa hakuna stress za kodi,hakuna makelele,pesa anaingiza nzuri tu mjini kuingiza kipato hicho usiku kulala lazima kichwa kikuume tu
Mi ningekomaa kijijini najenga mjini au namuweka mtu kwenye biashara ya mjini nakomaa na shamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…