Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Mkuu ukirudia kulima inakukata vibaya. Angalia hii trendMie watu wanao toa stori za mafanikio ya kilimo na washangaa jambo moja wanafanikiwa kupitia kilimo tena hapo wanakikimbia haraka kufungua biashara mjini badala yakuendeleza hicho kilima awe kwenye large scale production, kwanini wanakikimbia?
Mwaka 2018 viazi mviringo viliuzwa junia mpaka 70000 mwaka uliofuata junia lilikuwa 20000 tena kwa kubembeleza dalali. Mwaka 2020 junia lilicheza 45000 mpaka 30000 .
Mwaka huuu 18000. - 25000.
Unaiona teend hio. Unaweza tajirika vilevile unaweza filisika ndani ya mwaka mmoja.