Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
jamani naomba kuwasarimia tena wote umu ndani niende moja kwa mmoja kwenye mada yagu namuna nilivyoko simba asihuwawe na wanainchi kipindi niko kwa bibi yagu ngudu.
Nakumbuka irikuwa muaka 209 bahada ya kumariza kazi za kuvuna mpunga bibi ariniita nihende kumsarimia nyumbani kwake NGudu na kweri nirienda.
Bahada ya kufika bibi arifurahi sana na kunichinjiya kuku arikuwa na wajunkuu zake pare na tukawanza kuwa tunahenda wote kuchunga kondo wa bibi na mbuz kira siku.
Irikuwa siku ya halihamisi bibi arisema nihende kuchunga kondo mwenyew mahana ware wengine watahenda shure na niriamka na kwenda kuchunga kondo na mbuz wa bibi.
Iripofika sa sita nirikutana na simba wakati nachunga alikuwa simba mwanamuke yure simba halipita na kwenda kunywa manji kwenye muto mmoja na nikamuwona anarudi na kurara kwenye manyasi.
Sa saba wanainchi wakaja na mishare na malungu wakaniuriza umewona apa simba anapita nikawaambia sijamuwona simba apa basi kurikuwa na mubaba mumoja mkumbwa akauriza tena umewona apa simba nikamwabia hapana sijawona simba mimi.
Bahada ya kukagua na kuwona akuna simba wakaenda mbere kidogo nikakwimbiya kwenda kure aliporara simba na kumtupiya mawe iri aamke akimbiye wasije wakamuwa.
Yure simba arikimbiya sana na kupoteya niriporudi nyumbani nikamuwambia bibi akasema huo simba huwa anakura mbuzi ndiyo mahana wanamtafuta wamuhue.