Jinsi nilivyookoa simba asiuwawe na wananchi

Jinsi nilivyookoa simba asiuwawe na wananchi

Kwanini watoto wa bibi wanaruhusiwa kufungua uzi humu?
Ni kwa sababu mtoto wa bibi ni mzazi wako...pengine awe mamako mdogo au mkubwa...au mjomba[emoji56] na pia aweza kuwa babako mdogo au mkubwa ama shangazi...kama sio babako au mamako kabisa...mjukuu tulia mtoto wa bibiako ajiachie[emoji23]
 
Lafiki yagu kaniambia umu wanataka pincha za watu wa zaman iri uwonekane musomi. Kaka yagu simu yagu inazima betili hukiona sipo umu ujuwd betili imezima
 
Lafiki yagu kaniambia umu wanataka pincha za watu wa zaman iri uwonekane musomi. Kaka yagu simu yagu inazima betili hukiona sipo umu ujuwd betili imezima
Hamna huyo mchizi wako anakuzingua tu,rudisha picha ya Mr.Bean!
 
Back
Top Bottom