Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
- Thread starter
-
- #41
Hongera sasa umekuwa mtu mpya!Niriwahi kurara na mbuzi sema kweri kaka yagu hila bahada ya kupata mafuzo ya biburia nilihacha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah!!ulimla mbuzi kweli aiseeNiriwahi kurara na mbuzi sema kweri kaka yagu hila bahada ya kupata mafuzo ya biburia nilihacha.
Nirilala na mbuzi hila ni mala mmoja?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah!!ulimla mbuzi kweli aisee
hadithi yako inatufunza nini?
tusiwachokodhe thimba wakiwa wamerara kwani ni hataree
Nami nimefikiri hivyo! Jamaa anatuchezea tu!Alipo haribu igizo lake ni kwenye neno "DHAMBWI" pengine angeandika ZAMBI tungesema haigizi...MUIGIZAJI TU HUYU KAMA KINA WEMA NA WENGINEO[emoji23]
Ni kwa sababu mtoto wa bibi ni mzazi wako...pengine awe mamako mdogo au mkubwa...au mjomba[emoji56] na pia aweza kuwa babako mdogo au mkubwa ama shangazi...kama sio babako au mamako kabisa...mjukuu tulia mtoto wa bibiako ajiachie[emoji23]Kwanini watoto wa bibi wanaruhusiwa kufungua uzi humu?
Ukaamua kupoteza muda kukomenti...hahaa[emoji16]Nilivyoona heading sikupoteza muda kusoma habari yenyewe
Hujui kiswahili wewe. Hata ukiongea naona unaongea vibaya tu. Sijui kiswahili cha wapi hicho.Nitajalibu kuhandika vizwuri mala nyigine nahenda nazoyea taratimbu taratimbu
Mkuu,rudisha picha yako ya Mr.Bean kwenye avatar cuz hyo picha inasadifu yale unayoyaandika!Sijahacha kaka yagu
Hamna huyo mchizi wako anakuzingua tu,rudisha picha ya Mr.Bean!Lafiki yagu kaniambia umu wanataka pincha za watu wa zaman iri uwonekane musomi. Kaka yagu simu yagu inazima betili hukiona sipo umu ujuwd betili imezima