Von_Lufuta
JF-Expert Member
- Mar 19, 2023
- 1,528
- 3,641
- Thread starter
- #61
Hujui kitu. Yaani kwa nje nasurvive ila ndani yangu ni kama nilikuwa tayari nimekufa, iwe hisia, fikra na Kila kitu"I was died inside" Nimeishia hapa sijui huko chini umeandika Nini.