Von_Lufuta JF-Expert Member Joined Mar 19, 2023 Posts 1,528 Reaction score 3,641 Jun 5, 2023 Thread starter #61 Raymanu KE said: "I was died inside" Nimeishia hapa sijui huko chini umeandika Nini. Click to expand... Hujui kitu. Yaani kwa nje nasurvive ila ndani yangu ni kama nilikuwa tayari nimekufa, iwe hisia, fikra na Kila kitu
Raymanu KE said: "I was died inside" Nimeishia hapa sijui huko chini umeandika Nini. Click to expand... Hujui kitu. Yaani kwa nje nasurvive ila ndani yangu ni kama nilikuwa tayari nimekufa, iwe hisia, fikra na Kila kitu
Hassan Mambosasa JF-Expert Member Joined Aug 2, 2014 Posts 3,359 Reaction score 4,528 Jun 5, 2023 #62 Sasa si bora ungemwambia ukweli Dokta kuwa unapima sana kisa nini, usimtaje jimama tu. Angekupa ushauri ukarudi sawa kidogo
Sasa si bora ungemwambia ukweli Dokta kuwa unapima sana kisa nini, usimtaje jimama tu. Angekupa ushauri ukarudi sawa kidogo
Franky Samuel JF-Expert Member Joined Oct 10, 2018 Posts 5,195 Reaction score 13,785 Jun 5, 2023 #63 2 Chainz_ said: Hujui kitu. Yaani kwa nje nasurvive ila ndani yangu ni kama nilikuwa tayari nimekufa, iwe hisia, fikra na Kila kitu Click to expand... Amekosa English yako
2 Chainz_ said: Hujui kitu. Yaani kwa nje nasurvive ila ndani yangu ni kama nilikuwa tayari nimekufa, iwe hisia, fikra na Kila kitu Click to expand... Amekosa English yako
Von_Lufuta JF-Expert Member Joined Mar 19, 2023 Posts 1,528 Reaction score 3,641 Jun 5, 2023 Thread starter #64 Franky Samuel said: Amekosa English yako Click to expand... Anajifanya Much know wakati kichwani mweupe kabisa
Franky Samuel said: Amekosa English yako Click to expand... Anajifanya Much know wakati kichwani mweupe kabisa