Jinsi nilivyopingwa chini Valentine Day

MUREFU

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
1,331
Reaction score
352
WanaJF mambo vp ni muda sasa yapata toka niachwe kwenye mataa mwaka jana cku moja kabla ya valentine day baada ya ex-mpenz wangu kunipga chn bila tatzo?.

Nakumbuka ilikuwa sa nne cku moja kabla ya tarehe 14 febru ninakumbuka nilikuwa ninachat nae na sms ya mwsho kwake ilikuwa ni swal kwangu aliandika hv. MPENZ MFANO KESHO IKAWA MWSHO KAT YANGU MM NA WEWE JE UTAFANYEJE?.

Kwa kwel nilikuwa nimechukulia masihara hvyo nilimjibu itakuwa poa tuu. Na cku ya valentine ilipo wadia nilijikongoja mpk sehemu 2lipo agana 2onane na hapo ndipo nilipopgwa chn mana cku amin m2 uliempenda anakugeuka kama hakujui. Na hv sasa anataka 2rudiane nae na ninaona jitihada zake nyng cjui anataka2rudiane cku ya valentine day.

Je, nifanyeje nisaidien mana nipo njia panda wanaJF
 
Pole sana Murefu ,nani anasumbua member wa the gunners???:A S 20:

Nahisi alikuwa anatafuta namna ya kukuacha wakati huo nawewe ukateleza ukampa gia kukumwaga....muambie awe muwazi,what went wrong huko alikokuwa?kilichomrudisha nini?unaweza rudiana nae akakupa shida au hata kukuacha tena after valentine....lol

Ushuari...kama bado wampenda SANA,fikiria kurudiana nae,huenda keshajifunza kutokana na makosa.....ila kuwa makini nae,usiwe mwepesi wa kumrudisha 100%,unajuaga zile za kukaa kimachale unauosoma mpango mzima then unarudi mazima....sweety ile usimpe....tena mkapime kabisa......msumbue kidogo akila kona huyo hakuwa na jipya....consistency ya maneno na matendo yake itakupa majibu sahihi ya ana nia gani...........
 
demu akikumwaga mara ya kwanza, atakumwaga mara ya pili.....na ya tatu.....kama anataka mrudiane baada ya mwaka mmoja, we mpotezee mbaya.

Kama ameweza kukaa mwaka mzima bila wewe hata baada ya kukufahamu, basi hakuhitaji kivilee.
 
pole sana my dear
kuachwa tena Valentine day mmhhh
i can not imagine..

haya sasa fikiri kabla ya kutenda sasa
na fuata moyo wako my dear ..

angalia usije mkubalia halafu ukaachwa tena Valentine hii.. lol
 
Just follow your heart, ila ukimwagwa tena usilalamike
 
dah! Jaman ndo mnanifungua macho mana co siri nilikuwa ninaendelea kama kumrudisha hv kumbe co m2 mzuri nisaidien jaman
 
dah! Jaman ndo mnanifungua macho mana co siri nilikuwa ninaendelea kama kumrudisha hv kumbe co m2 mzuri nisaidien jaman

Hakuna kati yetu anayeweza jua if ni mtu mbaya au mzuri,wewe ndo wamjua vizuri,hatujui mlikotoka,malengo yenu yalikuwa nini,anarudi kwa gia gani,wala mnaelekea wapi....sisi tunakushauri,uamuzi wa mwisho ni wako Murefu.....
 
Huyo mwanaume mshenzi asje akawa anatafuta tu wa kumpa zawadi sku hiyo ya wapendanao. Nakumbuka chuo wasichana ilikuwa ikifika mwanzoni mwa february tu wanaanza kukumbushana na wapenzi wao hata wazamani ili ikifika siku ya valentine wapate vijizawadi tofautitofauti yaani haya mambo bwana.
 
Hapo umechemka ukimrudia akuache bila sababu na wewe unamrudia bila sababu??? Kisa nini Baba yako mzazi huyo?? Kuwa huwezi ita baba mwingine tena mwambie aishie zake hukoooooooooo alikokimbilia mwaka jana atakuona wewe mjinga huwajui wanaume wewe?? Atakutangaza si unaona kajileta mwenyewe huyu nilimpiga chini kajipendekeza acha kuendekeza kabisa hata kama unampenda vipi achana nae asikubabaishe kabisa
 
Hakuna kati yetu anayeweza jua if ni mtu mbaya au mzuri,wewe ndo wamjua vizuri,hatujui mlikotoka,malengo yenu yalikuwa nini,anarudi kwa gia gani,wala mnaelekea wapi....sisi tunakushauri,uamuzi wa mwisho ni wako Murefu.....

kaka ckatai na ndo mana nimesema mnanifungua macho mana ukipata ushaur ndo unajua nini cha kufanya mana mm kama mm ningejua chukuwa uamuz co sahihi ila kwa ushaur wako unanisaidia kuniweka pazur m2 wangu au co michelle bro?
 
jaman wanaJF MM NI MWANAUME ILA KWNY PROFILE YANGU NIMEWEKA PICHA YA ANGELINA JOEL ILA MM NI MWANAUME NINAITWA MUREFU PLZ PIPO PLZ mana ninaona mnazan mm ndo sket nini hapana naona kunawa2 wana miss used pamoja pipo
 
Na wewe bwana kwa nini uweke picha ya mwanamke wakati wewe ni mwanamme lol
Huyo Valentine lady hakupendi ,kuna kitu ankipata kwako akichoka anaondoka
Moyo wako ndo mwamuzi
 
Unakumbuka ile sredi ya baby am back!
 
Just follow your heart, ila ukimwagwa tena usilalamike
ataanzisha sredi nyengine halaf ma relationship rescue tutamwaga razi. hivi haujui kwamba kila matatizo ya mahusiano yakizidi ndio jukwaa letu hili tukufu linachangamka?
 
Na wewe bwana kwa nini uweke picha ya mwanamke wakati wewe ni mwanamme lol
Huyo Valentine lady hakupendi ,kuna kitu ankipata kwako akichoka anaondoka
Moyo wako ndo mwamuzi
Kuna siku niliuliza the same question.... hii inafanya watu tushindwe kujua nadhani kuna umuhimu wa JF kuongeza sehemu ya, male au female sababu this is confusing mtu unaweza ukafanya kufuru bila kujua...
 
Na wewe bwana kwa nini uweke picha ya mwanamke wakati wewe ni mwanamme lol
Huyo Valentine lady hakupendi ,kuna kitu ankipata kwako akichoka anaondoka
Moyo wako ndo mwamuzi

dah! mwenzio avatar ilikuwa imenipagawisha niko katika mikakati ya kurusha PM kumbe ni mdume! khaaa senks FL1.
 
Kwasababu umetuchanganya sasa fanya hivi pale ushauri ulipotolewa wa kiume weka wa kike na wakike weka wa kiume.

Kwanini uweke picha ya mwanamke na wewe ni mwanaume HUJIAMINI????
 
Kwasababu umetuchanganya sasa fanya hivi pale ushauri ulipotolewa wa kiume weka wa kike na wakike weka wa kiume.

Kwanini uweke picha ya mwanamke na wewe ni mwanaume HUJIAMINI????
sio picha ya kike tu halaf na msidiria mweusi anatuonesha . dah. its not fair bana. wengine laptop zetu za 3D
 
Hii ishu tete, kama alikuacha kirahisi namna hiyo, ukimrudisha kirahisi tena... atakutosa tena. Kwanza analyse
kwa nini alikuacha?
Nini kinamfanya arudi kwako?
Kuna mabadiliko yoyote (kimaisha) kwako au kwake i.e amepigika au ww neema imekushukia?
nakupa haya ninauzoefu nayo nilishapigwa kibuti halafu sasa hivi nafuatwa fuatwa saaana, nilicho gundua alidhani mwenzangu (aliyempata) yuko vizuri sana, kumbe shalobalo, sasa anataka kuniletea shombo. Inshort mchinjie baharini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…