Jinsi nilivyoporwa vitu vyangu vya muhimu na Majambazi

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,366
Reaction score
60,453
Habar wana JF
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo kiuweli nilipatwa na matatizo ya kuvamiwa na majambazi siku ya ijumaa.

Ilikuwa ni saa 5 usiku tukitokea sehemu Moja inaitwa Itigi kuja Manyoni baada ya kumaliza kukusanya pesa kwenye magoli ninayosimamia sijui kuna mtu alichoresha Raman kwamba tumekusanya hela wakaamua kutufatilia.

Tukiwa tumejiachia hatuna habar tulikuwa wa4 kwenye gari mara tukaona mdada akisimamisha gari akiwa amevaa suruali kabeba na begi mgongoni tukaona labda anaenda manyoni wacha tumsaidie kumbe tulikuwa kwenye mpango maalumu.
Mwenzetu akasema ngj nichimbe dawa nyie muulizeni anaenda wapi ile tunashuka tukawekw chini ya ulinzi tukanyang'anywa kila kitu kuanzia simu laptop na pesaa kiasi cha milioni 21 na laki 3.

Namshukuru mungu hakuna aliyeumizwa hata mmoja na kinachoniuma kuliko vyote ni simu yangu tu ndo Ilikuwa na kila kitu na pesaa wamechukua yani sjui nifanyeje.

NB:
Kwa yeyote anayependa mm kuwa hapa kuendeleza mada zetu pendwa za kule mmu unaweza nichangia hata 1000 ili nipate hata kasimu ka promotion wakat nasubiria kujipanga upya karibu pm nikupe namba ya mchango.
Natumia laptop jaman ya kazini huwez kwenda nayo home ndo shida yenyewe.
 
Anko magu anafanya watu wasijielewe kabisa

Sasa kama umeibiwa simu sister hapa umepost kutumia kitu gan? Umetumia kanda mbili na au yale maviatu makubwa wanayovaaga wasukuma
 
simu IMEI yake unaitambua
 
Anko magu anafanya watu wasijielewe kabisa

Sasa kama umeibiwa simu sister hapa umepost kutumia kitu gan? Umetumia kanda mbili na au yale maviatu makubwa wanayovaaga wasukuma
Laptop
 
simu used unafikiri zinapatikana vipi??
 
Kama simu hukununua ya wizi si utoe imei yako utrackiwe simu yako fasta?? Na ktk mloibiwa nao wote hawana emei?????
 
Habar wana JF
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo kiuweli nilipatwa na matatizo ya kuvamiwa na majambazi siku ya ijumaa.

Ilikuwa ni saa 5 usiku tukitokea sehemu Moja inaitwa Itigi kuja Manyoni baada ya kumaliza kukusanya pesa kwenye magoli ninayosimamia sijui kuna mtu alichoresha Raman kwamba tumekusanya hela wakaamua kutufatilia.

Tukiwa tumejiachia hatuna habar tulikuwa wa4 kwenye gari mara tukaona mdada akisimamisha gari akiwa amevaa suruali kabeba na begi mgongoni tukaona labda anaenda manyoni wacha tumsaidie kumbe tulikuwa kwenye mpango maalumu.
Mwenzetu akasema ngj nichimbe dawa nyie muulizeni anaenda wapi ile tunashuka tukawekw chini ya ulinzi tukanyang'anywa kila kitu kuanzia simu laptop na pesaa kiasi cha milioni 21 na laki 3.

Namshukuru mungu hakuna aliyeumizwa hata mmoja na kinachoniuma kuliko vyote ni simu yangu tu ndo Ilikuwa na kila kitu na pesaa wamechukua yani sjui nifanyeje.

NB:
Kwa yeyote anayependa mm kuwa hapa kuendeleza mada zetu pendwa za kule mmu unaweza nichangia hata 1000 ili nipate hata kasimu ka promotion wakat nasubiria kujipanga upya karibu pm nikupe namba ya mchango.
Natumia laptop jaman ya kazini huwez kwenda nayo home ndo shida yenyewe.
Kumbe avumaye papa kumbe wengine wapo. Nilidhani wewe ni mbabe sana hapo Dodoma kumbu ubua tu! Mambo ya ajabu uliyowahi kufanya ukiwa shule ya msingi
 
Back
Top Bottom