Au ulirudia kamchezo kako huko Karagwe ukalipa pamoja na papuchi laptop na simuNitawatafuta baadae nitakupa feedback
Kama umewahi kuiba Guest house /Hotelini karibu utuambie uliiba nini na ulitumia mbinu gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au ulirudia kamchezo kako huko Karagwe ukalipa pamoja na papuchi laptop na simuNitawatafuta baadae nitakupa feedback
Due unahasira na ngoshadAnko magu anafanya watu wasijielewe kabisa
Sasa kama umeibiwa simu sister hapa umepost kutumia kitu gan? Umetumia kanda mbili na au yale maviatu makubwa wanayovaaga wasukuma
Amekwambia anatumia laptop ya ofisini mkuu.Anko magu anafanya watu wasijielewe kabisa
Sasa kama umeibiwa simu sister hapa umepost kutumia kitu gan? Umetumia kanda mbili na au yale maviatu makubwa wanayovaaga wasukuma
mwizi mjanja hawezi iba simu kwani atajirahisisha kukamatwaHabar wana JF
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo kiuweli nilipatwa na matatizo ya kuvamiwa na majambazi siku ya ijumaa.
Ilikuwa ni saa 5 usiku tukitokea sehemu Moja inaitwa Itigi kuja Manyoni baada ya kumaliza kukusanya pesa kwenye magoli ninayosimamia sijui kuna mtu alichoresha Raman kwamba tumekusanya hela wakaamua kutufatilia.
Tukiwa tumejiachia hatuna habar tulikuwa wa4 kwenye gari mara tukaona mdada akisimamisha gari akiwa amevaa suruali kabeba na begi mgongoni tukaona labda anaenda manyoni wacha tumsaidie kumbe tulikuwa kwenye mpango maalumu.
Mwenzetu akasema ngj nichimbe dawa nyie muulizeni anaenda wapi ile tunashuka tukawekw chini ya ulinzi tukanyang'anywa kila kitu kuanzia simu laptop na pesaa kiasi cha milioni 21 na laki 3.
Namshukuru mungu hakuna aliyeumizwa hata mmoja na kinachoniuma kuliko vyote ni simu yangu tu ndo Ilikuwa na kila kitu na pesaa wamechukua yani sjui nifanyeje.
NB:
Kwa yeyote anayependa mm kuwa hapa kuendeleza mada zetu pendwa za kule mmu unaweza nichangia hata 1000 ili nipate hata kasimu ka promotion wakat nasubiria kujipanga upya karibu pm nikupe namba ya mchango.
Natumia laptop jaman ya kazini huwez kwenda nayo home ndo shida yenyewe.