Jinsi nilivyotambulishwa kwenye ulimwengu wa video za ngono, ngono na kujichua kupitia baba yangu bila yeye kujua

Jinsi nilivyotambulishwa kwenye ulimwengu wa video za ngono, ngono na kujichua kupitia baba yangu bila yeye kujua

sometime ilikua inaandikwa kwenye vile vibao cha kwenye banda la video
PILAU NYAMA, na zikiwekwa sauti inazimwa na mlango kufungwa
 
we uliaminije kama bastola inaua? unaamini kirahisi mambo ya kuambiwa? ilitakiwa pale nyuma ya bastola kuna kilock kimekaa kama nyundo ungekilaza alaf uvute ile sehemu ya juu irudi nyuma alaf uiachie iende mbele yenyewe alaf uweke kichwani utest kupiga

siyo kila kitu unachoambiwa na baba yako unaamini vingine uwe unajaribu, ungejaribu leo tungekua tumeepuka kusimuliwa upuuzi

[emoji1787][emoji1787] Uzi ningeuandikia mbele za haki actually bastora movie ndo zinatufundisha kua zinaua
 
Ila ww ulianza umbeya zamani sana ww mtoto ila hapo kwenye porn tulikuwa wengi mimi huo mchezo nilikuwa naangalia kwenye mabanda ubiza.

Hivi huwa najiuliza vijana wazamani sijui wanashida gani ovyo kabisa sijui ilikuwaje walikuwa wanatuacha watoto kwenye hayo mabanda yaani zikiisha zile movie za Amita bachan na Vandamme via Kamanda kipensi.

Ikifika saa tatu via saa nne wanaweka porn alafu madogo janja wanatuacha kisa tunalipia. Nyege mbaya sana banda linakuwa kimya so silence alafu wana wote macho kodo tukitoka hapo kesho tunaenda kupractise kwenye kombolela wakina mwajuma na Catherine tukijificha hatuonekani tena mpaka mchezo unaisha kwa kwichikwichi.[emoji2][emoji23][emoji23].
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom