Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
that manzi huyu bwege kaendelea huku [emoji1787][emoji1787]
Cute Babe wanitusi , Wanipandisha midadi [emoji1787]
ongezea pombe na betting hapoMaishani Kuna vitu ukiwa addicted navyo kuacha Ni ngumu Sana;
Sigara
Punyeto
Porn
Bangi
Namjua huyo mwajuma na alihama sehemu moja tokana na kashfa ya jamaa yake na pia anabebwa na mzee yule waziri asiye na wizara. Kwa sasa Mwajuma ni DED huko kaskazini na sio DAS. Code ipo wazi hiiNilifumwa kwenye jumba bovu na baba yake Mwajuma nikitaka kumlala binti yake nifanyie majaribio yale niliyoona kwenye movie ya x🤣🤣🤣.
Hilo jumba bovu sasa hivi ni makao makuu ya chama kimoja kikubwa cha siasa hapa nchini🤣🤣
Yule mzee alikuwa mjeda ila alikuwa pisi sana maana hakwenda kunisemea nyumbani. Aliturusha kichura chura mimi na Mwajuma na aliniambia akiniona tena karibu na binti yake atanikata mbupu.
Ila Mwajuma tunapigana miti kisela mpaka leo japo sasa hivi ni katibu tawala sehemu.
Umesahau simu!! Mimi nikikosa simu nakuwa teja!! Alosto za kutoshaongezea pombe na betting hapo
Ndo maana kile chama kina misukosuko mingiNilifumwa kwenye jumba bovu na baba yake Mwajuma nikitaka kumlala binti yake nifanyie majaribio yale niliyoona kwenye movie ya x🤣🤣🤣.
Hilo jumba bovu sasa hivi ni makao makuu ya chama kimoja kikubwa cha siasa hapa nchini🤣🤣
Yule mzee alikuwa mjeda ila alikuwa pisi sana maana hakwenda kunisemea nyumbani. Aliturusha kichura chura mimi na Mwajuma na aliniambia akiniona tena karibu na binti yake atanikata mbupu.
Ila Mwajuma tunapigana miti kisela mpaka leo japo sasa hivi ni katibu tawala sehemu.
Sio kila Mtu akitajwa jina hapa ni halisi. Mwajuma uyo uliyemtaja wewe(ni kwel saizi ni DED uko Kazkazini) baba yake hajawahi kua MjedaNamjua huyo mwajuma na alihama sehemu moja tokana na kashfa ya jamaa yake na pia anabebwa na mzee yule waziri asiye na wizara. Kwa sasa Mwajuma ni DED huko kaskazini na sio DAS. Code ipo wazi hii
Unasema ukiwa na miaka 12 ndio ulimchakata huyo beki tatu,na sasa una miaka 26 ina maana ni miaka 14 iliyopita yaani 2009,huo mwaka deck zilishapotea,ilikuwa ni mwendo wa cd,deck ta mwisho mwisho ni 2005 ndio maana nasema kuna harufu ya chai.Sijakuelewa kabisa [emoji3]
Story ya 2005 kiaje au umekosea uzi
Mtoto wangu wa kwanza sasa hivi ana miaka 6 nimempata nikiwa na miaka 24