Ww ndio utakua mpuuzi wakiwango cha lami kama maandiko matakatifu Yana Kili uchawi upo ww ni nani upinge.Hakuna sehemu nimekuita muongo. Nimesema umaskini wa fikra mbaya sana, you lack comprehension skill and it clearly shows. No wonder unaamini huu upuuuzi. Carry on.
Ww ndio utakua mpuuzi wakiwango cha lami kama maandiko matakatifu Yana Kili uchawi upo ww ni nani upinge.
Ni yale yale. Hakuna jipya hapo.Acha kuwa keyboard warrior. Kama unataka kuthibitisha kitu sharti ujitoe ili ufahamu zaidi.
No research no right to speak.
Kwa upande wako ilikuwaje mkuu,naomba unisimulie kwa faida yangu mkuu..napenda kujifunzaMazingira ya namna hiii yalishawahi nitokea... nikaeleza wana jamii forum.. cha ajabu wakanikaripia sana na kunieleza wazi kuwa, nimeshiba maharage yaliyo chacha maana hakuna vitu vya namna hiyo....
Oy inatabirije hyo app?Uchawi upo popote, Kama upo tayari kujifunza ingia playstore pakua app inaitwa KAYSA.
Hii app ni maalum kwa ajili ya kutabiri mambo ya mtu ya mbeleni.. Nilishaitumia Ila baadaye niiliifuta maana niliona ingeniletea mtafaruko.
Hyo app inakuaje yanChukua app ya WICCA uone uchawi unavyosomwa
🤣.
Nije nijionee mara ngapi?
Sehemu zote zinazosifika kwa uchawi Tanzania nimeshafika.
Sehemu zote hizo hazina lolote la maana zaidi ya ujinga na umaskini tu.
Nimeshawaambia watu waniroge.
Na ili kuwapa sababu, nimeshawatukana sana hao ‘wachawi’. Nimeshawakebehi sana.
Hadi dau la pesa nimeshawahi kutoa kwa yeyote atayenithibitishia kuwa uchawi upo kwa kuniroga.
Mpaka leo nadunda tu hata
🤣🤣Si ungrmpiga dudu kila
Si unge mpiga Dudu tu au alikuwa avutii iyo mama wa rafiki
Ila imani ya za kichawi hazipo Tanzania tu zipo hadi kwa wenzetu huko waliko endelea na wengi wamesoma sio wajinga kama sisi.Hakuna uchawi. Uchawi haupo.
Ni watu wapumbavu [blithering idiots] tu wanaoamini uchawi upo.
Sasa ukichanganya ujinga na upumbavu, unapata uzuzu.
Siku hizi kuna drones ambazo hazionekani kwa rada.
Mtu akirusha stealth drone yake yenye uwezo wa kufanya mashambulizi na kumlenga adui na kumuu bila kujua hizo risasi zimetoka wapi, mazuzu wanasema huo ni uchawi kumbe ni sayansi tu na teknolojia.
Ni rahisi sana kuwadanganya Watanzania.
Ila hata wenye kusema hakuna uchawi nao utagundua nao wana matatizo hayo hayo, ukifuatilia hoja zao utagundua wote hakuna hata mmoja aliyewahi kuchunguza matukio yenye kuitwa uchawi na hawajawahi katika maisha yao kukutana na mambo yenye kuhusishwa na uchawi yani si wao wala ndugu wala rafiki zao. Kwahiyo wao hoja yao ni kwamba hakuna uthibitisho tu basi ila huwezi kukuta wanaelezea matukio waliyowahi kukutana nayo ambayo yalihusishwa na uchawi ila wao walikuja kugundua haikuwa uchawi kama ilivyoaminika.Yeah. Ni kweli kwani watanzania ni wepesi kuamini badala ya kuchunguza, kudadisi au kutafakari kwa kina kwanza; wengi wakikosa jawabu, haraka wao hukimbilia jawabu rahisi i.e. ni Uchawi. Ukimwambia akuelezee huo uchawi ukoje anaishia kukwambia "we hayajakukuta".
Shida ilivyo hata huyo anayesema leo hakuna uchawi ikatokea akaja kukutana na mambo ambayo yeye binafsi akakubali kweli uchawi upo, basi hata akija kuelezea humu aliyoshuhudia bado itaendelea kuonekana hakuna uchawi kwa wenye kupinga uchawi.Dah! Masharti mengine hayatekelezeki. Mtu na akili yako timamu eti unaenda kulala porini - unajiweka kwenye hatari ya kushambuliwa na wanyama wakali e.g. fisi., mbwamwitu, nyoka, wadudu warukao na watambaao, baridi n.k. kisa ni ili kuuona uchawi ambao HAUPO. Ni kwanini huo uchawi ukae maporini ilhali huku mtaani na mahotelini/guest bado kuna nafasi? Uchawi wa mchongo huo- Tupa kule.
Tueleze zaidi unachokijua kuhusu huko kutokuwa na uchawi wala majini, pengine watu wataelewa sasa kuwa kumbe walichodhani ni majini si majini bali ni nini au wanachodhani ni uchawi si uchawi bali kitu gani hasa.Nakazia hoja. Hakuna cha uchawi wala majini. Vyote hivyo ni FICTION
Picha linaanza serikali haziamini uchawi na hata zile serikali zenye kuamini uchawi zimeweka sheria kali kwa wenye kujihusisha na uchawi. Na hii sio kwa uchawi tu kuna vyengine vingi tu ambavyo havizingatiwi sana kwa sababu tu havipo kisayansi zaidi japo vimefanya makubwa kama Dowsing.Huwa najiuliza hivi hizo tekinolojia kwanini zisitumike kutuletea maendeleo, au zikawa kama silaha dhidi ya mataifa makubwa hayo yenye dhuluma na ushenzi wa kila aina?
Wengi humu sio kwamba hawaamini uchawi kwa sababu haujawatokea bali ni kwa sababu wanadai hakuna uchawi, na hiyo hutokana na kusimamia msimamo wa kutoamini supernatural.Uchawi upo..
Ila kuamini mpaka yakutokee kama wanavyohadithia wakuu hapo juu.Ila kama hayajakukuta hiwezi amini.
Ilikuwa usiku wa manane, hapo nimelala ghorofa ya 4 jengo (naliweka kapuni, mtaa (nauweka kapuni) lakini ni mkoa wa dar es salaam......Kwa upande wako ilikuwaje mkuu,naomba unisimulie kwa faida yangu mkuu..napenda kujifunza
Aisee,noma sana, haya mambo yapo...Ilikuwa usiku wa manane, hapo nimelala ghorofa ya 4 jengo (naliweka kapuni, mtaa (nauweka kapuni) lakini ni mkoa wa dar es salaam......
Wakani nimelala ghafla nikashtuka, nikawa kama nauwoga flani hivi... nikawa najiuliza mbona natetemeka hivi... ikabidi nijigeuze upande wa pili... nikaona kama kivuli cha jitu ukutani.. dooh! Moyo ukapiga paah! Si unaelewa hofu tena,, nilitulia hivyo kama nilivyo geuka nikajifanya nimelala, lakini nimefumbua macho kwa mbaali huku naomba kwa imani yangu... hapo nipo stand by nikiona sielewi nitoke speed... wakati naendelea kuomba (wakati naomba kuna muda maneno yalikuwa hayatoki aiseh) lakini nilikaza, baadae nikaona kama lile jitu linaelekea chooni... daah! Asubuhi yake nikasema hii nyumba sikai... sikukaa sana.. nikaondoka.
Yapo aiseh.... ila jeifii wengi wao wanajifanya hawayatambui... maana nilivyoyaleta humu walinipopoa na mawe vibaya mno....Aisee,noma sana, haya mambo yapo...
Aisee, pamoja sana mkuuYapo aiseh.... ila jeifii wengi wao wanajifanya hawayatambui... maana nilivyoyaleta humu walinipopoa na mawe vibaya mno....
Kwahiyo usiku watu wanakabwa koo na drones?Hakuna uchawi. Uchawi haupo.
Ni watu wapumbavu [blithering idiots] tu wanaoamini uchawi upo.
Sasa ukichanganya ujinga na upumbavu, unapata uzuzu.
Siku hizi kuna drones ambazo hazionekani kwa rada.
Mtu akirusha stealth drone yake yenye uwezo wa kufanya mashambulizi na kumlenga adui na kumuu bila kujua hizo risasi zimetoka wapi, mazuzu wanasema huo ni uchawi kumbe ni sayansi tu na teknolojia.
Ni rahisi sana kuwadanganya Watanzania.