msukule mzembe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 253
- 302
- Thread starter
-
- #21
enaseketeshaaaaaaaMtatuvunja miguu bana[emoji3064], nimekuja mbio hadi nimejikwaa nikijua Mbuzi alokuvutia ni YOUNG LUNYA
eboooooh, enaseketeshaaaaaIt's matter of time ,u will come with another thread to ask on how to do after wizards effect
mimi ni mwamba mixer chumaKwa hiyo unataka kusema katika wahuni wote wa dar wewe ndio muhini ulie pitiliza na wale wengine mafala au sio Bwana mkubwa mwenye kagari kake.........? [emoji1][emoji1]
mbona kawaida tu, ka istHaya tushajua unamiliki kagari...[emoji3][emoji3]
mimi niliwaacha mbuzinani ashawahi kupisha msururu wa Bata upite? wana maringo hao [emoji1787]
karibu tuleUkashuka kwenye magari Kako ukaanza kuwafata mbuzi,ukawafataaaa ukaona wanatokomea kwenye makaburi ya taifa!!
Sasa hivi unakula kitoweo cha mbuzi wa makaburini..basi sawa
watamu sanaaaaaa, eboooooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huwa tunatishwa saana kuhusu hao mbuzi, we tafuna tu mzee mwenzangu.
utanionesha location zaoKuna wengine wapo pale mitaa ya tangibovu, nenda kavune bure mkuu
acha zako basiNgoja uanze kulia kama mbuzi, uote mapembe, na mkia kama yule jamaa alobeba mke wa mtu.... Utaanza kupandwa na mabeberu.... Sipat picha jinsi utakua mbuzi mrembo.... Mabeberu yote ya mtaani yataanza kukufukuzia[emoji28]
boya weww[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amaa kweli, msukule ni msukule!
enaseketeshaaaaaaa, ebooooh usiniambieBado siku yako uliwe
pamoja sana mkuuUkiwa
Ukiwamaliza kuwala hao Mbuzi wa Temeke, njoo Tegeta kwa Ndevu na Kibaoni, Njoo uwale na hao...!
Nakutahadharisha tu Mbuzi hawa wa Tegeta wanavuka Barabara kwenye Zebra.
Umenikumbusha animation ya Angry birds jinsi Red alivyokua anachukia kusubiri vibata vivuke barabara..Basi anachukianani ashawahi kupisha msururu wa Bata upite? wana maringo hao 🤣
Kweli tenaacha zako basi
kwahiyo mimi nitapandwa sioKweli tena
enaseketeshaaaaaa , magonjwa gani hayoHao mbuzi nawajua...tuliwafukuza bandani mtaani kwetu maana walikuwa wanaambukiza binadamu magonjwa
na hao nawatakahao nahisi watakuwa mbuzi wa buguruni pale maeneo ya kimboka
Upungufu wa condom mwilinienaseketeshaaaaaa , magonjwa gani hayo