Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Ashukuriwe Mungu kwamba mpaka leo wapo wanawake wanaompenda mwanaume kwelikweli. Yaani toka moyoni.
Ila wapo kwa uchache sana, hawa ukiwa nao kwenye uhusiano huteseki. Mnaishi maisha ya kusaidiana. Akiwa vizuri anakutoa, ukiwa vizuri unamtoa. Mkichalala wote mnafarijiana mnafurahi.
Maajabu ni kwamba wapo watu mpaka wamefunga ndoa lakini wanaishi maisha ya kulipana. Mimi nikimpata mpenzi mpenda pesa zaidi huwa sirembi namnyoosha.
Namtime siku moja nampigia au nachati naye, namwambia tabia ya kupenda pesa katika mapenzi ni ya watu wanaojiuza au wasiojielewa.
Mwanaume anajua mahitaji ya mwanamke hivyo kama ana pesa anakupa umalize haja zako, unapokuwa ombaomba tunakupa pesa tunakugonga then tunakuweka pembeni.
Baada ya sms ya kumwambia kuhusu tabia ya kuomba pesa, atatuma sms nyingi kuomba msamaha na kujitetea. Najibu kwa sms moja tu. Sawa au ok au nimekuelewa. Baada ya hapo sijibu sms zake tena wala sipokei simu yake.
Nimewafanyia mademu kama 4 hivi. Mmoja nimemrudia, sasa hivi kawa mpole hana tabia za ombaomba.