chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
Hiyo picha ni prompt ambayo unaweza kuitumia, kama upo chuo au una kijana wako anatarajia kwenda chuo. au unatarajia kuwa na kijana ambae atafika chuo.
Actually prompt hii imenisaidia kuweza ki forecast yajayo hadi kifikia hapa nilipo
pia nahitaji vijana wa kuweza kiwa monitor ili kufanya vizuri kwenye masomo yao haswa ngazi ya chuo kikiu