chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
Inafaa nini maisha ni huo uprofesa!View attachment 3580365
hiyo picha ni prompt ambayo unaweza kuitumia, kama upo chuo au una kijana wako anatarajia kwenda chuo. au unatarajia kuwa na kijana ambae atafika chuo.
actually prompt hii imenisaidia kuweza ki forecast yajayo hadi kifikia hapa nilipo
pia nahitaji vijana wa kuweza kiwa monitor ili kufanya vizuri kwenye masomo yao haswa ngazi ya chuo kikiu
mambo yasiwe mengi ila inafaa...Inafaa nini maisha ni huo uprofesa!
Prof na utawala wa ccm huu ni hasara na shida kuuu. Huoni majalala ya ma professorView attachment 3580365
Hiyo picha ni prompt ambayo unaweza kuitumia, kama upo chuo au una kijana wako anatarajia kwenda chuo. au unatarajia kuwa na kijana ambae atafika chuo.
Actually prompt hii imenisaidia kuweza ki forecast yajayo hadi kifikia hapa nilipo
pia nahitaji vijana wa kuweza kiwa monitor ili kufanya vizuri kwenye masomo yao haswa ngazi ya chuo kikiu
You are disgustingView attachment 3580365
Hiyo picha ni prompt ambayo unaweza kuitumia, kama upo chuo au una kijana wako anatarajia kwenda chuo. au unatarajia kuwa na kijana ambae atafika chuo.
Actually prompt hii imenisaidia kuweza ki forecast yajayo hadi kifikia hapa nilipo
pia nahitaji vijana wa kuweza kiwa monitor ili kufanya vizuri kwenye masomo yao haswa ngazi ya chuo kikiu
hapa ni habari na hoja mchanganyikoMods wadhibiti huu uanzishwaji holela wa thread.