Jinsi nilivyozimwa kuwasiliana na Miss Tz 2010 Genoviva Mpangala.

Kiukweli toka nimejiunga JF kuna members wawili wananifanya nifunge mwaka kwa kukubali kutowaelewa lakini kila wanachoandika lazima nikisome.

Ni huyu jamaa na Baby Beira Boy aka London Boy.
Cocochannel
 
Duh,

Kuanzia leo wewe siyo Deo Kisandu tena,utakuwa "Deo Warembo aka Deo Pendapenda"
 
Vipi yule mtoto wa Obama? Au umeamua kumpotezea ili kuwa mzalendo wa kupenda vya kwetu? Na Jenipher Kanumba vipi?
 
Sikuwa nasoma kila unachopost ilanimena watu wengi wakikuita chizina ni kama dish limeyumba.baada ya kukufuatilia.wala sibishi kabisa...............we jamaa una matatizo ya akili!
 
Rafiki yako alikuona mtambo,utatia mkosi wa mazezeta kwenye familia ukitoka na dada yake.
 
ilikuaje ukutajwa kwenye list ya Makonda?!
 
Huyu bint nmesoma nae ruaha sec school pale iringa alikua mzuri Sana ila class alikua kawaida tu
 
Bwana kisandu baadaye tukutane villa park mzeiya kuna konyagi yako moja
Bora umpe Konyagi kwa apo Vila park resort au pale maeneo ya Delux. Maana iyo mitaa kuna Malaya wa kutosha anajichagulia anaenda anapiga ana msahau Hugo mpangala
 
Kama vipi njoo Hotel Tilapia huku nako utapata papuchi kwa bei elekezi kwa sababu vyuma vimekaza balaa sio kama zamani.
 
yaani huyu jamaaa anaaandikaga post zake utafikiri ni maaarufu saaaana au kanajulikana!
 
Hahahahahahah daaah Deo Kisandu ndio member wangu bora wa JF kwa mwaka 2017

Hahahahahah Deo juu juu juu zaidi ahahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…