Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Na mshana JR post zake bila kumsahau Padiri mcharo
Mshanar kuna thread yake ya Mahusiano ya kingono kati ya Malaika na Majini, duh amefunguka balaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mshana JR post zake bila kumsahau Padiri mcharo
Mshanar kuna thread yake ya Mahusiano ya kingono kati ya Malaika na Majini, duh amefunguka balaa.
Nimecheka mpaka nahisi kupasuka
CocochannelKiukweli toka nimejiunga JF kuna members wawili wananifanya nifunge mwaka kwa kukubali kutowaelewa lakini kila wanachoandika lazima nikisome.
Ni huyu jamaa na Baby Beira Boy aka London Boy.
Mbona umeiba avatar ya Preta?Sijawahi kukuelewa kabisa sijui wenzangu??
Pretta yupi mkuu Mwaka wa pili sijawahi badiliMbona umeiba avatar ya Preta?
Bila kumsahau Pdidy, yeye mwandiko wake ni kama bata ameharaNa mshana JR post zake bila kumsahau Padiri mcharo
Bora umpe Konyagi kwa apo Vila park resort au pale maeneo ya Delux. Maana iyo mitaa kuna Malaya wa kutosha anajichagulia anaenda anapiga ana msahau Hugo mpangalaBwana kisandu baadaye tukutane villa park mzeiya kuna konyagi yako moja