Evans Richard Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 366
- 759
- Thread starter
-
- #41
Sawa kiongozi ni mtazamo kwako pia, nimeambatanisha na excel yangu hapo juu ya hii biashara. Mm sio dereva wa pikipiki nimesema nafanya kazi yangu as a Teacher full time nipo JOB from 0800 to 1600. Sina haja ya kuweka Tangazo hapa kwenye great thinkersTarudi kuisoma vzr baadae, ila naona km ni TANGAZO la fekon hili [emoji28]
Angalia comment #31 utaona nimeweka sample ya excel yangu (screenshot)mb
ona hiyo excell siioni naona piki piki tu
Nitakutumia kiongozi, mkataba upo kwenye PC by jioni nitakutumia both word and pdf.Naomba copy ya mkataba unaotumia.
Nmelisoma andiko vzr sasa, twende mbele turudi nyuma. Hakika umeupiga mwingi!Sawa kiongozi ni mtazamo kwako pia, nimeambatanisha na excel yangu hapo juu ya hii biashara. Mm sio dereva wa pikipiki nimesema nafanya kazi yangu as a Teacher full time nipo JOB from 0800 to 1600. Sina haja ya kuweka Tangazo hapa kwenye great thinkers
Copy ya Mkataba BossView attachment MKATABA WA PIKIPIKI.pdfNaomba copy ya mkataba unaotumia.
Microsoft word ya mkataba hii hapa, prepared by mimiView attachment MKATABA WA PIKIPIKI.docxNaomba copy ya mkataba unaotumia.
Mkuu unaweza kunisaidia hiyo format ya Excel? Nimeona hapo juu ila natamani nijifunze zaidi kuhusu mfumo unaotumia kusimamia marejesho yako...!Copy ya Mkataba BossView attachment 2460128
Walikuibia bajaji?Nilikuw na bajaji tatu, nilienda mpaka polisi kwenye kesi ya ujambazi. Huyu jamaa Mungu kambariki Sana akumbuke kutoa sadaka kanisani. .
Yule derev alienda na watu kufanya ujambaz masaki. Derev akajua msala akajisalimisha osterbay. Nikawa katikati ya mambo yote Kama mmiliki. Ilisumbua kweli kweli. .Walikuibia bajaji?
Maelezo ya bajaji kwa ufupi ni kwamba inauzwa 7.5 m mpaka 8 millions na hesabu yake kwa siku ni 15,000/= mpka 25,000/= inategemea na eneo la biashara. Mfano bajaji ilyopo dar pale mbezi au ubungo au kkoo hesabu zake ni tofauti na mtu anayefanya hiyo biashara korogwe, msata, chalinze au sehem za vijijini.Me nataka maelezo kuhusu biashara ya bajaji...
Nitakutumia ipo kwenye pc, nitaedit baadhi ya documents then nitakutumia uione yaani ni kuweka kumbukumbu tu ya kila dereva. Kiasi alicholeta na deni lake.Mkuu unaweza kunisaidia hiyo format ya Excel? Nimeona hapo juu ila natamani nijifunze zaidi kuhusu mfumo unaotumia kusimamia marejesho yako...!
Shukrani.Yote kwa yote, barikiwa mno mkuu kwa kunishirikisha jambo hili zuri, shukrani sana na nimejifunza mengi sana. Stay blessed sir
Wenye akili ndogo wanakuaga na mitazamo ya ajabu sana. Yote yaloandikwa umeona ni marketing tu ya pikipiki. Na hapo utakuta we ni graduate unasaka ajiraHongera kwa upambanaji, ila mada imekaa kama vile ni marketing tu ya hizo pikipiki.
Aise, haya mambo ni changamoto kweliYule derev alienda na watu kufanya ujambaz masaki. Derev akajua msala akajisalimisha osterbay. Nikawa katikati ya mambo yote Kama mmiliki. Ilisumbua kweli kweli. .
Asante kwa maelezo mazuri..... Subiri niutafuteee huo uziMaelezo ya bajaji kwa ufupi ni kwamba inauzwa 7.5 m mpaka 8 millions na hesabu yake kwa siku ni 15,000/= mpka 25,000/= inategemea na eneo la biashara. Mfano bajaji ilyopo dar pale mbezi au ubungo au kkoo hesabu zake ni tofauti na mtu anayefanya hiyo biashara korogwe, msata, chalinze au sehem za vijijini.
Na faida ya bajaji utaiona ndani au baada ya miaka miwili ya marejesho.
Kuna uzi mzuri sana upo hapa jamiiForum unaelezea hii biashara ya bajaji. Upo vzuri sana