Jinsi ninavyopata Faida ya 45,000/= kwa siku, huku nikiendelea na kazi zangu kila siku

Hongera. Huo uzoefu nao ni pesa. Mi nakushauru huo uzoefu ukusanye nukta kwa nukta kila siku baada ya miaka mitano andika kitabu.
 
ipo good naitaji kujua uyo anaesimamia hizo boda mkataba wake upoje hasa kwenye malipo
 
ipo good naitaji kujua uyo anaesimamia hizo boda mkataba wake upoje hasa kwenye malipo
Unakubaliana nae tu mfano kwa unaweza ukamlipa kila mwisho wa mwezi au kwenye kila rejesho unampa fungu lake kdgo la usumbufu wa kuwafata watu kwa ajili ya makusanyo.

Kwa mwezi unaweza kumpa 5pK mpka 100K hapo katikati mtaelewana tu au kwenye kila rejesho unampa hela ya mafuta kidogo between 10K mpaka 25K ni maelewano tu hizi ni biashara usimuumize sana maana wewe boss unapata faida kubwa na hausumbuki sana kwasababu yeye ndio Master mind wa kukusanya marejesho yote maana anafahamiana vzuri na hao watu wote uliowapa pikipiki.
 
Nilinunua pikipiki aisee nilipata marejesho mara 2 tu wiki ya kwanza 50,000 ya pili 42,000 baada ya hapo dogo white akawa hapokei simu zangu kumfatilia mdhamini wake ambae ni mjomba wangu wakasema pikipiki ilishikwa na watu wa jiji na me nilkua mkoani ndo ikawa nitolee mpaka wa leo, madereva ni changamoto sana
 
Hizi biashara ni rahisi mtu akikusimulia
 
Ukimpa mtu pikipiki tafuta ostadhi aje asomee albadili mbele ya kijana wa pikipiki atakuw na nidhamu ya woga

Ninazo pia sema dereva wengine heshima sana dereva wangu mmoja ndio shida
 
Ukimpa mtu pikipiki tafuta ostadhi aje asomee albadili mbele ya kijana wa pikipiki atakuw na nidhamu ya woga

Ninazo pia sema dereva wengine heshima sana dereva wangu mmoja ndio shida
Ni shida mkuu, kupata mtu muaminifu kazi kweli kweli na usirogwe ukampa ndugu yako utatafta lawama bure tu. Me nilimpa cousin wangu gari afanye bolt mbona niliichukua nikaingia front mwenyewe kuangalia kweli hela haipatikani 😂 mtu wiki 3 mfululizo anakupanga tu hata havieleweki
 
Ukitaka kuwa boss trust me unatakiwa uwe na roho mbaya sana. Hawa jamaa ukiishi nao kirafiki hawana jema hata kidogo. Leo tu nimeona jamaa wangu wa bodaboda anakanyagia break anateleza nikajikuta tu nacheka🤣

Ukipata vijana waaminifu kazi nzuri sana. Nakomaa nazo kibishi sana alafu number zote D mpya nyepe😊
 
Me nmeshakata tamaa bro nimelizwa sana biashara tofauti tofauti coz sina muda wa kuzifatilia nategemea uaminifu wao tu..sahivi najipanga nipate mtaj mkubwaa niachane na ajira kwa mara ya pili nisimamie mwenyewe
 
Me nmeshakata tamaa bro nimelizwa sana biashara tofauti tofauti coz sina muda wa kuzifatilia nategemea uaminifu wao tu..sahivi najipanga nipate mtaj mkubwaa niachane na ajira kwa mara ya pili nisimamie mwenyewe
Kuna kipindi sikutaka kukaa dukani au nifungue duka nikatafuta wana watatu nikawa najaz maduka yao mali faida tunagawana nusu na vitu vya electronic imagine prices ziko juu. Nilipoteza about 6m.
sasa yeyote anayecheza na kazi yangu sina masikhara nae nishapoteza sana. Nina hasira mda wote 😡
 
Nakusoma vizuri mkuu ukipoteza pesa hiyo hasira unakua nayo sio poa, ndo mana ukawa villain ubaya ubaya tuu 😂
 
ipo good mungu atusaidie vijana tufike ulipofika asante kwa ku share nasi siri ya Mafanikio nchi inakuitaji mtu kama wewe
 
nimekua nikiifanya hii bizne sio ki siriaz kiviile, yaani ikitokea nina akiba let say 3m iko iddle, huwaga nanunua boxer nampa kijana mkataba, namuachia majukumu yote waifu ndio anapokea marejesho, sijawahi kuzinguana nao hao madogo tangu nilivyoanza, na mara nyingi wakiniona ndio wao wananiomba niwanunulie, kwakweli inaongeza grisi kwenye majukumu ya nyumbani, as siumizi kichwa sana kwa pesa ndogondogo,
Nashawishika niifanye siriaz, ninunue pkpk angalau tatu kwampigo ila moyo unasita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…