Jinsi ninavyopata Faida ya 45,000/= kwa siku, huku nikiendelea na kazi zangu kila siku

Ni ideal nzuri mkuu ,nitumie hyo excel whatsap 0788747144 kama hutojal
 
Mbona hatuoni excel mkuu bac nitumie whatsap 0788747144
 
Hii ni biashara isyo na faida ... ukijtahidi sana utapata faida kidogo sanaa..!
Yo only getting rich on paper ..

Piga hesabu zako vizuri , over time utagunduwa hakuna faida.

Anayefaidika ni
Muuza pikipiki,
BodaBoda(rider)

Mmiliki..
Analinda mtaji wake
Na kurudisha pesa yake kidogo kidogo
 
Mshukuru Mungu wako unapata madereva wanaojielewa. Hawa madereva wanyoa viduku na kuvaa sendo nusu mbona ungelia kufwatilia hesabu za siku. Yaani unakuwa kama unafwatilia deni kwenye mali yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha ya mtu ni siri kubwa,huo ni upande mmoja lakini atakuwa na mke makini na mshirika mkuu kwake,ndugu wa karibu pia wako vizuri sababu wanaweza mzunguka na kuweka vikwazo kwa mhusika kufanya majanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…