Siku kadhaa zilizopita nilikuwa na kazi nzito sana ya kufanya translation ya pages zaidi ya 1,000 ndani ya wiki moja, kwa kawaida ilikuwa sio rahisi hivyo niliamua kutengeneza script kwa kutumia VBA, php kwenye upande wa server na kuunganisha API za OpenAI na GeminiAI ili ziweze kunisadia kazi moja kwa moja kutoka kwenye MS word yangu. Tazama video hii hapa chini.
Kwa kutumia njia hiyo kazi yangu iliweza kwenda haraka kwa kuwa nilikuwa na higlight paragraph ina_translate kisha nasoma kama ipo sawa naendelea mbele, kama haipo sawa nafanya marekebisho then naendelea mbele.
Kwa post hii nataka wengine pia tuweze kufikiri namna ya kuweza kuunganisha products ambazo zipo ili zifanye kazi pamoja katika kutuongezea ufanisi, badala ya kufikiri kuwa ubunifu ni kuja na kitu kipya tuu ili kutatua changamoto.
Ahsanteni.