Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Leo ni kumbukumbu ya miaka (22) baada ya tukio kubwa la Kigaidi lililoua watu (3,000+).
ππ‘ππ πͺπ¬π 11 πππ₯π©ππ’πππ§ 2001 ;
π‘ Saa 2:45 Asubuhi, ndege ya (1) aina ya '(Boeing 767) kutoka kwenye shirika la ndege la ''American Airlines'' iligonga upande wa kaskazini mwa mnara wa ''World Trade Center', jengo refu zaidi USA πΊπ² na Duniani wakati huo. Ndani yake kulikuwa na ofisi za mataifa mbalimbali Duniani π
π‘ Ilipofika saa 3:03 Asubuhi ndege ya (2) aina ya '(Flight 175') kutoka kwenye kampuni ya ''United Airlines'' iligonga upande wa kusini mwa mnara wa ''World Trade center''
π‘ Ilipofika saa 3:37 asubuhi ndege ya (3) kutoka shirika la ndege la ''American Arlines'' (Flight 77) ilianguka yalipo makao makuu ya wizara ya ulinzi nchini Marekani ''Pentagon''
π‘ Majira ya saa 4:03 Asubuhi ndege ya (4) kutoka ''United Airlines'' aina ya (Flight 93) ilianguka huko Pennsylvania, na kukamilisha idadi ya ndege nne ambazo zilifanya shambulio hilo la kuogofya πΊπ²
π Jumla ya mashambulio yote yaliyotokea ''Septemba 11'' yalisababisha vifo vya zaidi ya watu (3,000+) including magaidi (19) walioziteka ndege hizo na kuziongoza kugonga majengo hayo.
Magaidi waliwateka marubani kisha wao ndio wakaziongoza ndege hizo zilizokuwa na abiria kugonga jengo hilo na zingine kuzidondosha chini hasa target yao ilikuwa zianguke katikati ya makao makuu ya wizara ya ulinzi wa Marekani πΊπ² Pentagon.
Japo tukio hilo halikufanikiwa.
β 2,977 β Watu waliokufa siku hiyo.
β 2,606 β Watu waliokufa wakiwa kwenye jengo la World Trade Center .
β 246 - Watu waliokufa wakiwa kwenye ndege Including (40) passengers & crew of flight 93 in Shanksville, PA.
β 125 - Watu waliokufa Pentagon.
Baada ya siku hiyo idadi ya vifo iliongezeka kutokaa na majeraha yaliyosababishwa na tukio hilo na kupindukia watu 3,000+.
Soma Pia: Unalijua hili kuhusu mtoto wa Osama bin Laden
ππ¨ππ’π π½ππ£ πππππ£
Zoezi zima la ugaidi huo liliratibiwa na Billionaire kijana wakati huo OSAMA BIN LADEN ambaye alikuwa kiongozi wa kundi tishio la kigaidi AL QAEDA.
Osama Bin Mohamed Bin Awadh Bin Laden alizaliwa Nchini Saudi Arabia πΈπ¦ 10 March 1957. Uraia wake Nchini Saudi Arabia ulisitishwa 1994, kuanzia 1994-2011 hakuwa Raia wa Nchi yoyote Duniani.
Wakati anatekeleza tukio hilo alikuwa na umri wa miaka (41) .. Alikuwa ndiye founder na first general emir wa Al Qaeda kuanzia 1988-2011.
Osama Bin Laden aliuawa kutokana na majeraha mabaya ya risasi 2 May 2011 akiwa na umri wa miaka (54).
π Robert J. O'Neill kutoka kikosi maalumu cha Kijesusi cha Marekani πΊπ² NEAVY SEAL ndiye aliyemuua Osama Bin Laden 2011 baada ya kikosi hicho kuvamia mahali alipokuwa amejificha akiwa na wake zake Nchini Afghanistan
Lengo la makomando hao ilikuwa wamkamate Osama akiwa hai na kumpeleka Marekani lakini purukushani zilizotokea kutoka kwa walinzi wake wakati wa ambush hiyo ilipelekea O'Nell kumjeruhi kwa risasi kisha kupoteza maisha baadae.
Makomando hao waliondoka na mwili wake, wakawakamata pia wake zake. Mwili wa Osama ulizikwa kwa siri haijulikani kaburi lake lilipo .. Barack Obama Rais wa Marekani wakati huo alitangaza rasmi kifo cha Osama Bin Laden 2011.
Tukio hili linatajwa kuwa miongoni mwa mashambulizi mabaya zaidi ya kigaidi kuwahi kufanyika Duniani.