Jinsi Osama Bin Laden alivyotekeleza shambulio la kigaidi baya zaidi kuwahi kutokea Marekani

Jinsi Osama Bin Laden alivyotekeleza shambulio la kigaidi baya zaidi kuwahi kutokea Marekani

Makala nzuri kwa watu wanaofuatilia yamayoendelea duniani.
Ila kuweka kumbukumbu sawa Osama aliuliwa Pakistan sio Afghanistan.
Sitasahau hiyo siku alfajiri nasikiliza BBC Swahili huku napiga kiwi niwahi class.
 
Are you out of mind?
images the te.jpg

tafuta hicho kitabu
 
Leo ni kumbukumbu ya miaka (22) baada ya tukio kubwa la Kigaidi lililoua watu (3,000+).

𝙄𝙡𝙞𝙠𝙪𝙬𝙖 11 𝙎𝙚𝙥𝙩𝙚𝙢𝙗𝙚𝙧 2001 ;

🕡 Saa 2:45 Asubuhi, ndege ya (1) aina ya '(Boeing 767) kutoka kwenye shirika la ndege la ''American Airlines'' iligonga upande wa kaskazini mwa mnara wa ''World Trade Center', jengo refu zaidi USA 🇺🇲 na Duniani wakati huo. Ndani yake kulikuwa na ofisi za mataifa mbalimbali Duniani 🌍

🕡 Ilipofika saa 3:03 Asubuhi ndege ya (2) aina ya '(Flight 175') kutoka kwenye kampuni ya ''United Airlines'' iligonga upande wa kusini mwa mnara wa ''World Trade center''

🕡 Ilipofika saa 3:37 asubuhi ndege ya (3) kutoka shirika la ndege la ''American Arlines'' (Flight 77) ilianguka yalipo makao makuu ya wizara ya ulinzi nchini Marekani ''Pentagon''

🕡 Majira ya saa 4:03 Asubuhi ndege ya (4) kutoka ''United Airlines'' aina ya (Flight 93) ilianguka huko Pennsylvania, na kukamilisha idadi ya ndege nne ambazo zilifanya shambulio hilo la kuogofya 🇺🇲

📌 Jumla ya mashambulio yote yaliyotokea ''Septemba 11'' yalisababisha vifo vya zaidi ya watu (3,000+) including magaidi (19) walioziteka ndege hizo na kuziongoza kugonga majengo hayo.

Magaidi waliwateka marubani kisha wao ndio wakaziongoza ndege hizo zilizokuwa na abiria kugonga jengo hilo na zingine kuzidondosha chini hasa target yao ilikuwa zianguke katikati ya makao makuu ya wizara ya ulinzi wa Marekani 🇺🇲 Pentagon.


Japo tukio hilo halikufanikiwa.

◉ 2,977 — Watu waliokufa siku hiyo.
◉ 2,606 — Watu waliokufa wakiwa kwenye jengo la World Trade Center .

◉ 246 - Watu waliokufa wakiwa kwenye ndege Including (40) passengers & crew of flight 93 in Shanksville, PA.

◉ 125 - Watu waliokufa Pentagon.

Baada ya siku hiyo idadi ya vifo iliongezeka kutokaa na majeraha yaliyosababishwa na tukio hilo na kupindukia watu 3,000+.

Soma Pia: Unalijua hili kuhusu mtoto wa Osama bin Laden

𝙊𝙨𝙖𝙢𝙖 𝘽𝙞𝙣 𝙇𝙖𝙙𝙚𝙣

Zoezi zima la ugaidi huo liliratibiwa na Billionaire kijana wakati huo OSAMA BIN LADEN ambaye alikuwa kiongozi wa kundi tishio la kigaidi AL QAEDA.

Osama Bin Mohamed Bin Awadh Bin Laden alizaliwa Nchini Saudi Arabia 🇸🇦 10 March 1957. Uraia wake Nchini Saudi Arabia ulisitishwa 1994, kuanzia 1994-2011 hakuwa Raia wa Nchi yoyote Duniani.

Wakati anatekeleza tukio hilo alikuwa na umri wa miaka (41) .. Alikuwa ndiye founder na first general emir wa Al Qaeda kuanzia 1988-2011.

Osama Bin Laden aliuawa kutokana na majeraha mabaya ya risasi 2 May 2011 akiwa na umri wa miaka (54).

📌 Robert J. O'Neill kutoka kikosi maalumu cha Kijesusi cha Marekani 🇺🇲 NEAVY SEAL ndiye aliyemuua Osama Bin Laden 2011 baada ya kikosi hicho kuvamia mahali alipokuwa amejificha akiwa na wake zake Nchini Afghanistan

Lengo la makomando hao ilikuwa wamkamate Osama akiwa hai na kumpeleka Marekani lakini purukushani zilizotokea kutoka kwa walinzi wake wakati wa ambush hiyo ilipelekea O'Nell kumjeruhi kwa risasi kisha kupoteza maisha baadae.

Makomando hao waliondoka na mwili wake, wakawakamata pia wake zake. Mwili wa Osama ulizikwa kwa siri haijulikani kaburi lake lilipo .. Barack Obama Rais wa Marekani wakati huo alitangaza rasmi kifo cha Osama Bin Laden 2011.

Tukio hili linatajwa kuwa miongoni mwa mashambulizi mabaya zaidi ya kigaidi kuwahi kufanyika Duniani.
Ukiwa unaamini tukio hilibkalifanya osama basi upo in wrong way jiulize vzr majibu utayapata tu
 
Matukio mengi katika ulimwengu huu yanatokea yakiwa yalishapangwa kitambo ili kutimiza malengo ya maelites, Nivile hufatili mambo nakujuza tu kidogo, Kampuni ambayo ilikuwa na tenda ya ulinzi kwenye hayo majengo ilikuwa niya mdogo wake na Bush, Majengo yote yaliporomoka kabisa yaani hayakubaki kama magofu wala hayakuanguka kwa upande na hii imekuwa utata mkubwa kwasababu kulingana na Mhandisi aliye jenga hayo majengo anasema isingewezekana majengo yale kuporomoka vile kwasababu vyuma vilivyo tumika kujengea vilikuwa imara sana na hata kama ni mafuta ya ndenge au ndege ilibeba mabomu bado jengo lisingi poromoka kwa namna ile lingebaki kama gofu.

Hivyo basi kilicho fanya majengo kuporomoka kulikuwa na mabomu yaliyofungwa ndani ya majengo, Mabomu yale ya kushusha maghorofa ambayo hutumika sana kuondoa maghorofa hatarishi.. Kwahiyo ni kwamba mabomu hayo yaliingizwa kabla ya tukio, swali ni nani aliye ingiza mabomu hayo wakati kampuni ya ulinzi katika majengo hayo niya mdogo wake bush ambaye ndiye alikuwa Rais kwa wakati huo?
Kama ilivyokuwa kwa COVID 19 na magonjwa mengine ya mlipuko,vita -Urusi & Ukraine, Israel & Palestine n.k, matukio ya kigaidi sehemu mbali mbali,vikundi vya uasi kama DRCongo n.k.-ni mipango inayoratibiwa na UN nakutekelezwa vizuri sana na Marekani.
 
Haina tofauti na Polisi wenubkusema Chadema inapanga kuvamia vituo vya Polisi kumbe wanasakizia ili wamuuwe mzee Ally.
 
Kuna story nyingi sana zimefunikwa kuhusu osama na marekani osama hajawahi kuwa gidi George Bush anajua ukweli wote na wala osama hajaishambulia marekani yaani drama za osama hazina tofauti na za corona tulizoambiwa watu elfu moja wanakufa kwa siku lakini huoni makaburi wala huoni wakizikwa mwisho ikapotea tusomeni watanzania tuondoe ujinga.
 
Back
Top Bottom