Jinsi Osama Bin Laden alivyotekeleza shambulio la kigaidi baya zaidi kuwahi kutokea Marekani

Makala nzuri kwa watu wanaofuatilia yamayoendelea duniani.
Ila kuweka kumbukumbu sawa Osama aliuliwa Pakistan sio Afghanistan.
Sitasahau hiyo siku alfajiri nasikiliza BBC Swahili huku napiga kiwi niwahi class.
 
Ukiwa unaamini tukio hilibkalifanya osama basi upo in wrong way jiulize vzr majibu utayapata tu
 
Kama ilivyokuwa kwa COVID 19 na magonjwa mengine ya mlipuko,vita -Urusi & Ukraine, Israel & Palestine n.k, matukio ya kigaidi sehemu mbali mbali,vikundi vya uasi kama DRCongo n.k.-ni mipango inayoratibiwa na UN nakutekelezwa vizuri sana na Marekani.
 
Haina tofauti na Polisi wenubkusema Chadema inapanga kuvamia vituo vya Polisi kumbe wanasakizia ili wamuuwe mzee Ally.
 
Kuna story nyingi sana zimefunikwa kuhusu osama na marekani osama hajawahi kuwa gidi George Bush anajua ukweli wote na wala osama hajaishambulia marekani yaani drama za osama hazina tofauti na za corona tulizoambiwa watu elfu moja wanakufa kwa siku lakini huoni makaburi wala huoni wakizikwa mwisho ikapotea tusomeni watanzania tuondoe ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…