Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hapo shetani anahusika kweli,..?maana hata maisha yetu ya kawaida hii hutokea.
Alijigawaje kwa wote huyo shetani, au ni yeye baadae aliwapulizia pumzi ya pepo wote wakayaharibu waliyoyatetea.Hivi hapo shetani anahusika kweli,..?maana hata maisha yetu ya kawaida hii hutokea.
Waliokula wakae mkao wa kuliwa Jinai haina ukomo wa muda[emoji1787][emoji116]View attachment 2501760
Acha masihara hiyo ni vitiligo.ngozi hupoteza rangi yake ya asili kuanzia vidoleni( kwenye miguu au mikono) kuelekea sehemu nyingine za mwili.Vilevile inaweza kuanzia kwenye macho,pua au mdomo na sehemu za siri kisha inasambaa kuelekea sehemu nyingine za mwili.[emoji1787][emoji116]View attachment 2501773
Mh[emoji1787][emoji116]View attachment 2501773
Mkorogo huo, tafuta miwani.Acha masihara hiyo ni vitiligo.ngozi hupoteza rangi yake ya asili kuanzia vidoleni( kwenye miguu au mikono) kuelekea sehemu nyingine za mwili.Vilevile inaweza kuanzia kwenye macho,pua au mdomo na sehemu za siri kisha inasambaa kuelekea sehemu nyingine za mwili.
Watu wengi wanaopatwa na tatizo hili huacha tu kwasababu hauna madhara makubwa zaidi ya kupoteza rangi ya ngozi.
Kwa muktadha wa thread sijaelewa lengo lako ni nini kuweka hiyo picha.
Huyo ni mkorogo kajichubua bhana[emoji4]Acha masihara hiyo ni vitiligo.ngozi hupoteza rangi yake ya asili kuanzia vidoleni( kwenye miguu au mikono) kuelekea sehemu nyingine za mwili.Vilevile inaweza kuanzia kwenye macho,pua au mdomo na sehemu za siri kisha inasambaa kuelekea sehemu nyingine za mwili.
Watu wengi wanaopatwa na tatizo hili huacha tu kwasababu hauna madhara makubwa zaidi ya kupoteza rangi ya ngozi.
Kwa muktadha wa thread sijaelewa lengo lako ni nini kuweka hiyo picha.
Chama Cha Panyarodi[emoji1787][emoji116]View attachment 2501760
Mwache amini anacho amini, maana ameamua kukaza ubongoAcha masihara hiyo ni vitiligo.ngozi hupoteza rangi yake ya asili kuanzia vidoleni( kwenye miguu au mikono) kuelekea sehemu nyingine za mwili.Vilevile inaweza kuanzia kwenye macho,pua au mdomo na sehemu za siri kisha inasambaa kuelekea sehemu nyingine za mwili.
Watu wengi wanaopatwa na tatizo hili huacha tu kwasababu hauna madhara makubwa zaidi ya kupoteza rangi ya ngozi.
Kwa muktadha wa thread sijaelewa lengo lako ni nini kuweka hiyo picha.
PoaMkorogo huo, tafuta miwani.
PoaHuyo ni mkorogo kajichubua bhana[emoji4]