Jinsi Premature Ejaculation inavyonitesa

Aisee 😂
 
Pole sana mtumish jitaid kutumia karoti na vitunguu maji utufane vikiwa vibichi usipike wala kuvichemusha

Lakin kuna dawa flan hivi nikiipata nitakumia kwa picha uione ni mzizi ila ndo kiboko yako hutaenda tena dakika mbili ni dakika 40 kwenda juu

Inauzwa na wamasai mbei ndogo kabisa
 
Kumbe nyeto haiathiri wote, nadhani inategemea na wingi wa upigaji, upige kila siku x 2 au tatu alafu usidhurike?
Brother.. nyeto haina shida, naongea kwa experience.. ya miaka 10.

Bao zinaungwa hata 3.

Nyeto itakuaibisha pale umetok kupiga nyeto then ukapata Mbususu ya ghafla.. pia Sex kwako inakuw sio ishu yaan unakuw sio excited hiyo ndio ina affect akili yako kutokuw active enough ktk sex.

Ila kama unafanya in a manageable manner haina shida.. na ni very useful hasa ktk mazoez ya kutomwaga mapema ikiwemo na kegel exercises.
 
Hapo nimekuelewa vyema kabisa mkuu.
 
Pre mature ejaculation inatokana na woga wakati wa tendo.........


Anyway nakumbuka kuna mada ulikuwa unasema wewe ni mpweke nk.. Me nahisi ni kwa kuwa huna experience na wanawake mkuu yaani unakuwa na woga wakati wa tendo
 
Tafuta msukuma huko uliko ila kama upo Dar utauziwa miti isiyo halisi. Au agiza mikoani.

Tafuta hiii mizizi ya miti hii

Ng'ocha ngoko
Pandepande
Busalu Zena
Migagate
Igulyati

Ukiipata hii mizizi iparue vzr itoe kwenye miti ya mizizi yaani utoe Yale magome kwenye mizizi. Then ikaushe vizuri juani.

Ukimaliza isage Kwa kuuponda ponda iwe kama unga. Baada ya hapo tumia kwenye maji moto Kwa siku8 mfurulizo. Ni hivyo tu maelezo yte yameshiba usije pm uliza hapahapa.
 
Chukua naz chukua mhogo ile ya mia mbili mia mbili tafuna kwa pamoja kisha kunywa maji ukiitaji formula elf 10 whats app 0712505049
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…