Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya sanaMazoezi nafanya kiasi.
Inawezekana kabisa, subiri watu waje na shuhuda zao hapa.Kumbe nyeto haiathiri wote, nadhani inategemea na wingi wa upigaji, upige kila siku x 2 au tatu alafu usidhurike?
Tupe hao wa kuwachapa burebure jombaa😂😂😂inawezekana upo sahihi mkuu..ila wanawake sio gharama maybe utake wewe
Ngoja tupate shuhuda zaidi.Inawezekana kabisa, subiri watu waje na shuhuda zao hapa.
Sio kila mtu anaathirika na nyeto jombaa.
Mnaipiga vita as if mtu akipiga kimoja kwa wiki ataambiwa acha nyeto, inafanya uume uweje sijui kitu ambacho wala sio kweli.
Tumia tu bro. side effect ni ndogo na ni kawaida sanaYAani imefikia natamni nitumie hata sildenafil(ila naogopa nisije pata heart complication) ili nirudishe heshima kwa huyu demu, maana kanidharau sana.
Madhara ya kujichua hayo.Habari Wakuu,
Nimeamua kushusha uzi huu hapa baada ya hiki kilichotekea leo.
Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa nimekuwa kwenye mahusiano na binti mmoja mzuri tuu.
Katika kipindi hicho, tumeshakutana kimwili mara tatu, na mara zote hizo sijafanikiwa kuzidi dkk 3.
TAtizo hili limeanza toka siku ya kwanza nilipoanza kusex.
Nilienda nalo.
Baadae sana nikaanza kukwea mnazi.
Nikaendelea nalo. Hadi leo hii.
Nimeamua kuandika haya ili kutoa ya moyoni , maana hii hali inauma sana.
Yaani uko na demu mzuri kitandani, then unapiga chini ya dk 2.
Demu unamuona kabisa hajapenda, unatka kujitetea unashidwa, unabaki kuwa mnyonge tuu.
KUna demu pia alishawahi kuniacha kisa tatizo hili, huyu alinichana kabisa, kwamba hawezi kuendelea na mimi sababu simridhishi, zaidi tuu namuumiza kihisia. Iliniuma ila nitafanyeje sasa.
Hata huyu wa sasa nawaza ni bora nimuache tuu aendelee na maisha yake.
Mimi pingine nijitkite kutafuta tiba.
au kama vipi niachane tuu na swala la mpenzi, sitooa, niwe hata mlevi tu.
Maana kwakweli inauma sana.
Nyongeza.
Umri wangu ni karibu 30
Si mlevi mwili wangu ni mwembamba (kg 57,-59)
Najitahidi kupiga pushups mara kwa mara.
Nakula matunda na mboga za majani mara kwa mara.
Kivipi tupe elimu.Miaka 30 una kilo 57?
Kuna shida mahala
Unauhakika gani juu ya nyeto, usimhukumu kwa hilo.Madhara ya kujichua hayo.
nenda hospitali. Muone daktari. Kun vi[pimo watajuwa tatizo ni nini na wakupe tiba ipi.
Inaweza kusababishwa na mengi sana, magonjwa ya zinaa vile vile husababisha.
Huwa sikisii.Unauhakika gani juu ya nyeto, usimhukumu kwa hilo.
Sio rahisi kuhamisha mawazo kiasi hicho. Huwa mnasemaga tu lakini ni issue sana mkuuUKishaingiza ndani mara moja anza kuyawaza madeni.
miaka 30 halaf una kilo 59? hili nalo mkalitazameHabari Wakuu,
Nimeamua kushusha uzi huu hapa baada ya hiki kilichotekea leo.
Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa nimekuwa kwenye mahusiano na binti mmoja mzuri tuu.
Katika kipindi hicho, tumeshakutana kimwili mara tatu, na mara zote hizo sijafanikiwa kuzidi dkk 3.
TAtizo hili limeanza toka siku ya kwanza nilipoanza kusex.
Nilienda nalo.
Baadae sana nikaanza kukwea mnazi.
Nikaendelea nalo. Hadi leo hii.
Nimeamua kuandika haya ili kutoa ya moyoni , maana hii hali inauma sana.
Yaani uko na demu mzuri kitandani, then unapiga chini ya dk 2.
Demu unamuona kabisa hajapenda, unatka kujitetea unashidwa, unabaki kuwa mnyonge tuu.
KUna demu pia alishawahi kuniacha kisa tatizo hili, huyu alinichana kabisa, kwamba hawezi kuendelea na mimi sababu simridhishi, zaidi tuu namuumiza kihisia. Iliniuma ila nitafanyeje sasa.
Hata huyu wa sasa nawaza ni bora nimuache tuu aendelee na maisha yake.
Mimi pingine nijitkite kutafuta tiba.
au kama vipi niachane tuu na swala la mpenzi, sitooa, niwe hata mlevi tu.
Maana kwakweli inauma sana.
Nyongeza.
Umri wangu ni karibu 30
Si mlevi mwili wangu ni mwembamba (kg 57,-59)
Najitahidi kupiga pushups mara kwa mara.
Nakula matunda na mboga za majani mara kwa mara.
Mkuu hivi huwaga mnatumia mbinu gani kuunga bao hebu lete madini kidogo kuna jamaa mmoja niliona mahali anasema yeye anaweza unga hata round 4 ile ya nne ndo mashine inaweza kulala. Sasa kuna techniques zipi huwa mnatumia au ni mmebarikiwa tuBrother.. nyeto haina shida, naongea kwa experience.. ya miaka 10.
Bao zinaungwa hata 3.
Nyeto itakuaibisha pale umetok kupiga nyeto then ukapata Mbususu ya ghafla.. pia Sex kwako inakuw sio ishu yaan unakuw sio excited hiyo ndio ina affect akili yako kutokuw active enough ktk sex.
Ila kama unafanya in a manageable manner haina shida.. na ni very useful hasa ktk mazoez ya kutomwaga mapema ikiwemo na kegel exercises.
mpanzu kama mpanzuBrother.. nyeto haina shida, naongea kwa experience.. ya miaka 10.
Bao zinaungwa hata 3.
Nyeto itakuaibisha pale umetok kupiga nyeto then ukapata Mbususu ya ghafla.. pia Sex kwako inakuw sio ishu yaan unakuw sio excited hiyo ndio ina affect akili yako kutokuw active enough ktk sex.
Ila kama unafanya in a manageable manner haina shida.. na ni very useful hasa ktk mazoez ya kutomwaga mapema ikiwemo na kegel exercises.
Pole sana mwambaHabari Wakuu,
Nimeamua kushusha uzi huu hapa baada ya hiki kilichotekea leo.
Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa nimekuwa kwenye mahusiano na binti mmoja mzuri tuu.
Katika kipindi hicho, tumeshakutana kimwili mara tatu, na mara zote hizo sijafanikiwa kuzidi dkk 3.
TAtizo hili limeanza toka siku ya kwanza nilipoanza kusex.
Nilienda nalo.
Baadae sana nikaanza kukwea mnazi.
Nikaendelea nalo. Hadi leo hii.
Nimeamua kuandika haya ili kutoa ya moyoni , maana hii hali inauma sana.
Yaani uko na demu mzuri kitandani, then unapiga chini ya dk 2.
Demu unamuona kabisa hajapenda, unatka kujitetea unashidwa, unabaki kuwa mnyonge tuu.
KUna demu pia alishawahi kuniacha kisa tatizo hili, huyu alinichana kabisa, kwamba hawezi kuendelea na mimi sababu simridhishi, zaidi tuu namuumiza kihisia. Iliniuma ila nitafanyeje sasa.
Hata huyu wa sasa nawaza ni bora nimuache tuu aendelee na maisha yake.
Mimi pingine nijitkite kutafuta tiba.
au kama vipi niachane tuu na swala la mpenzi, sitooa, niwe hata mlevi tu.
Maana kwakweli inauma sana.
Nyongeza.
Umri wangu ni karibu 30
Si mlevi mwili wangu ni mwembamba (kg 57,-59)
Najitahidi kupiga pushups mara kwa mara.
Nakula matunda na mboga za majani mara kwa mara.
Ale Ashibe Anywe MajiMiaka 30 una kilo 57?
Kuna shida mahala