Jinsi Premature Ejaculation inavyonitesa

Kumbe nyeto haiathiri wote, nadhani inategemea na wingi wa upigaji, upige kila siku x 2 au tatu alafu usidhurike?
Inawezekana kabisa, subiri watu waje na shuhuda zao hapa.

Sio kila mtu anaathirika na nyeto jombaa.
Mnaipiga vita as if mtu akipiga kimoja kwa wiki ataambiwa acha nyeto, inafanya uume uweje sijui kitu ambacho wala sio kweli.
 
Hapo kwenye kilo hapo. Mwanaume average ni kilo 70. Ingia jimu beba vyuma. Kula kuku walau ufike 65.
 
Hauna shida yeyote mkuu , kama una hisia kali za huyo msichana lazima wazungu waje kushangilia mapema ,na pia kuna mademu wengine wapo fresh ukipiga mzigo wazungu wakija kuna stykle wanafanya kitu inastuka kwa ndani na unaunga hapo unaenda si chini ya 40mins ila ni nadra kutokea.

Wahuni wanapaka mkongo ili kuondoa hisia kupiga marathans.

Watu wanadanganywa kwenye movie za ngono mtu anapiga lisaa bila kujua kwamba ni scene ya kuungwa ungwa ambayo inaweza kuwa imeectiwa kwa siku hata 10 kupata clip ya dakika 45 ,sasa na wewe pasipo kujua unaweza ukafikiri ni siku hiyo hiyo moja.

Kama ushajijua wazungu wanatoka mapema jitahidi foreplay.
 
YAani imefikia natamni nitumie hata sildenafil(ila naogopa nisije pata heart complication) ili nirudishe heshima kwa huyu demu, maana kanidharau sana.
Tumia tu bro. side effect ni ndogo na ni kawaida sana
 
Habari Wakuu,

Nimeamua kushusha uzi huu hapa baada ya hiki kilichotekea leo.

Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa nimekuwa kwenye mahusiano na binti mmoja mzuri tuu.

Katika kipindi hicho, tumeshakutana kimwili mara tatu, na mara zote hizo sijafanikiwa kuzidi dkk 3.

TAtizo hili limeanza toka siku ya kwanza nilipoanza kusex.

Nilienda nalo.

Baadae sana nikaanza kukwea mnazi.

Nikaendelea nalo. Hadi leo hii.

Nimeamua kuandika haya ili kutoa ya moyoni , maana hii hali inauma sana.

Yaani uko na demu mzuri kitandani, then unapiga chini ya dk 2.

Demu unamuona kabisa hajapenda, unatka kujitetea unashidwa, unabaki kuwa mnyonge tuu.

KUna demu pia alishawahi kuniacha kisa tatizo hili, huyu alinichana kabisa, kwamba hawezi kuendelea na mimi sababu simridhishi, zaidi tuu namuumiza kihisia. Iliniuma ila nitafanyeje sasa.

Hata huyu wa sasa nawaza ni bora nimuache tuu aendelee na maisha yake.

Mimi pingine nijitkite kutafuta tiba.

au kama vipi niachane tuu na swala la mpenzi, sitooa, niwe hata mlevi tu.

Maana kwakweli inauma sana.

Nyongeza.
Umri wangu ni karibu 30
Si mlevi mwili wangu ni mwembamba (kg 57,-59)
Najitahidi kupiga pushups mara kwa mara.

Nakula matunda na mboga za majani mara kwa mara.
Madhara ya kujichua hayo.

nenda hospitali. Muone daktari. Kun vi[pimo watajuwa tatizo ni nini na wakupe tiba ipi.

Inaweza kusababishwa na mengi sana, magonjwa ya zinaa vile vile husababisha.
 
Unauhakika gani juu ya nyeto, usimhukumu kwa hilo.
 
Habari Wakuu,

Nimeamua kushusha uzi huu hapa baada ya hiki kilichotekea leo.

Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa nimekuwa kwenye mahusiano na binti mmoja mzuri tuu.

Katika kipindi hicho, tumeshakutana kimwili mara tatu, na mara zote hizo sijafanikiwa kuzidi dkk 3.

TAtizo hili limeanza toka siku ya kwanza nilipoanza kusex.

Nilienda nalo.

Baadae sana nikaanza kukwea mnazi.

Nikaendelea nalo. Hadi leo hii.

Nimeamua kuandika haya ili kutoa ya moyoni , maana hii hali inauma sana.

Yaani uko na demu mzuri kitandani, then unapiga chini ya dk 2.

Demu unamuona kabisa hajapenda, unatka kujitetea unashidwa, unabaki kuwa mnyonge tuu.

KUna demu pia alishawahi kuniacha kisa tatizo hili, huyu alinichana kabisa, kwamba hawezi kuendelea na mimi sababu simridhishi, zaidi tuu namuumiza kihisia. Iliniuma ila nitafanyeje sasa.

Hata huyu wa sasa nawaza ni bora nimuache tuu aendelee na maisha yake.

Mimi pingine nijitkite kutafuta tiba.

au kama vipi niachane tuu na swala la mpenzi, sitooa, niwe hata mlevi tu.

Maana kwakweli inauma sana.

Nyongeza.
Umri wangu ni karibu 30
Si mlevi mwili wangu ni mwembamba (kg 57,-59)
Najitahidi kupiga pushups mara kwa mara.

Nakula matunda na mboga za majani mara kwa mara.
miaka 30 halaf una kilo 59? hili nalo mkalitazame
 
Brother.. nyeto haina shida, naongea kwa experience.. ya miaka 10.

Bao zinaungwa hata 3.

Nyeto itakuaibisha pale umetok kupiga nyeto then ukapata Mbususu ya ghafla.. pia Sex kwako inakuw sio ishu yaan unakuw sio excited hiyo ndio ina affect akili yako kutokuw active enough ktk sex.

Ila kama unafanya in a manageable manner haina shida.. na ni very useful hasa ktk mazoez ya kutomwaga mapema ikiwemo na kegel exercises.
Mkuu hivi huwaga mnatumia mbinu gani kuunga bao hebu lete madini kidogo kuna jamaa mmoja niliona mahali anasema yeye anaweza unga hata round 4 ile ya nne ndo mashine inaweza kulala. Sasa kuna techniques zipi huwa mnatumia au ni mmebarikiwa tu
 
Brother.. nyeto haina shida, naongea kwa experience.. ya miaka 10.

Bao zinaungwa hata 3.

Nyeto itakuaibisha pale umetok kupiga nyeto then ukapata Mbususu ya ghafla.. pia Sex kwako inakuw sio ishu yaan unakuw sio excited hiyo ndio ina affect akili yako kutokuw active enough ktk sex.

Ila kama unafanya in a manageable manner haina shida.. na ni very useful hasa ktk mazoez ya kutomwaga mapema ikiwemo na kegel exercises.
mpanzu kama mpanzu
 
Habari Wakuu,

Nimeamua kushusha uzi huu hapa baada ya hiki kilichotekea leo.

Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa nimekuwa kwenye mahusiano na binti mmoja mzuri tuu.

Katika kipindi hicho, tumeshakutana kimwili mara tatu, na mara zote hizo sijafanikiwa kuzidi dkk 3.

TAtizo hili limeanza toka siku ya kwanza nilipoanza kusex.

Nilienda nalo.

Baadae sana nikaanza kukwea mnazi.

Nikaendelea nalo. Hadi leo hii.

Nimeamua kuandika haya ili kutoa ya moyoni , maana hii hali inauma sana.

Yaani uko na demu mzuri kitandani, then unapiga chini ya dk 2.

Demu unamuona kabisa hajapenda, unatka kujitetea unashidwa, unabaki kuwa mnyonge tuu.

KUna demu pia alishawahi kuniacha kisa tatizo hili, huyu alinichana kabisa, kwamba hawezi kuendelea na mimi sababu simridhishi, zaidi tuu namuumiza kihisia. Iliniuma ila nitafanyeje sasa.

Hata huyu wa sasa nawaza ni bora nimuache tuu aendelee na maisha yake.

Mimi pingine nijitkite kutafuta tiba.

au kama vipi niachane tuu na swala la mpenzi, sitooa, niwe hata mlevi tu.

Maana kwakweli inauma sana.

Nyongeza.
Umri wangu ni karibu 30
Si mlevi mwili wangu ni mwembamba (kg 57,-59)
Najitahidi kupiga pushups mara kwa mara.

Nakula matunda na mboga za majani mara kwa mara.
Pole sana mwamba

I can feel your pain aisee
 
Back
Top Bottom