kidole cha simba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2022
- 1,994
- 2,510
acheni ukafiriHuo ni ukweli mchungu mkuu ingawa wapo watakaopinga . Kwa namna sayansi ya tiba inavyo develop, siyo ajabu miaka 1,000 au 10,000 ijayo kifo kikawa historia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acheni ukafiriHuo ni ukweli mchungu mkuu ingawa wapo watakaopinga . Kwa namna sayansi ya tiba inavyo develop, siyo ajabu miaka 1,000 au 10,000 ijayo kifo kikawa historia
𝑴𝒅𝒂 𝒉𝒖𝒐 𝒘𝒐𝒕𝒆 𝒕𝒖𝒍𝒊𝒐 𝒉𝒂𝒊 𝒕𝒖𝒕𝒂𝒌𝒖𝒂 𝒕𝒖𝒔𝒉𝒂𝒌𝒖𝒇𝒂Mzuka wanajamvi wa JT na great thinkers natumaini mpo powa na tunaendelea kusurvive chini ya jua,
Husika na kichwa habari hapo juu,
Kwanza nipende kutoa onyo na tahadhari Kwa kundi Fulani Hivi la brain washed wakae Mbali na hii thread sababu itakua nje ya uwezo wao,ili tujadili mahaba ya Dini tuweke pembeni tuwe free kujadili mambo magumu na yenye ukweli mchungu ambao raia wengi hawaupendi
Ila Haina namna!
Nitaagusia kifupi sana hasa Kwa wavivu kusoma!
1.MBINGU MPYA
Wakuu Binadamu na watu wa Civilization hii wanapiga hatua kubwa kimaendeleo sayansi na teknolojia tunaona projects nyingi zinavumbuliwa Kila kukicha yaani tunaenda spidi ya kimbunga kwenye gunduzi kiasi kwamba tumefika level za kuprint watu,
Hapa namaanisha watoto wanafyatuliwa maabara nk,
Sasa Kuna hii project ya kufanya majaribio kwenye sayari ya Mars na kinara wa hiyo kazi ni ndugu Elon Musk na kampuni yake ya space x na tunaona jinsi inavyofanikiwa kwa Kasi ni kama ndoto za alinacha ila ndio hivyo inaenda kua kweli,
Baada ya hapo huko yataenda kujengwa makazi ya kisasa na raia grade one wataanza ishi huko na kuibadilisha sayari ya vumbi jekundu na miamba kua paradise,
Imagine jinsi lile jangwa la Dubai Miaka 20 iliyopita lilivyogeuzwa Jiji kubwa na lenye madhari ya kuvutia kiasi kwamba Leo mlugaluga akifika pale na kumwambia hapa palikua jangwa na eneo baya lisilifaa binadamu mwenye akili timamu kuweka makazi ataeweza akuzibue konzi Kwa ujuha wako unaomwambia maana aonacho ni maghorofa makubwa na mabustani mazuri ya kuvutia.
Sasa basi baada ya raia wa grade one kuhamishia makazi sayari ya Mars na
Kujenga mithili ya masimulizi ya Mbingu watu wa grade la chini Kama sisi huku Afrika tutaenda kutengeneza Hadith ya Mbingu mpya maana tutakua hatuna uwezo wa kufika huko sehemu yenye ustaarabu mkubwa na maisha ya Raha za ajabu pasipo dhiki maana huko Kila kitu kitaendeshwa Kwa ujuzi wa Hali ya juu kutokana na kukua Kwa science and technology Kwa kiwango Juu Cha mno!
Dunia itabaki sehemu ya mkakati maalumu na watakao Baki wale useless hakuna kitu watafanya zaidi ya kuleta shida kubwa na kuanza kufanya maasi wao Kwa wao na hakuna mtu atajali kuhusu hizo vurugu maana Kila kitu kitajiendea hovyo kutakua hakuna uongozi wa kidunia Kama ilivyo Leo UN na mataifa ya kuiongoza Dunia Ili ikalike hapo Kila mjuaji atafanya ajuavyo na Dunia itaharibika kabisa kwa uharibifu mkuu,
Ila kuna maeneo ya kimkakati yatatunzwa vizuri for future use
Baada ya yote hayo itapendekezwa raia wa Duniani wapunguzwe kabisa Kwa mbinu mbadala wabaki guardian wa kuitunza dunia na nature yake na itakua baadae salama na ni sehemu ya kutalii tu Tena Kwa gharama kubwa watu wakitoka mars huko wataona wamechoshwa na kuishi kwenye miji ya ajabu ya huko angani wakivutiwa na hali ya duniani.
2.NCHI MPYA
Baada ya sayari ya mars na wakazi wake kuchoshwa kuishi kwenye artificial Planet watatamani Sasa warudi kuishi duniani baada ya miaka mingi kupita,vuguvugu za Exodus zitaanza na wanaharakatj wengi watajitokeza kupigania kuirudia nchi mpya ya mababu zao na hapo utaandaliwa mpango maalumu wa kurejea wenye masharti magumu maana Dunia itakua Tena Kama bustani nzuri Sana na ya kuvutia na watakao kurudi watatakiwa kukidhi vigezo maalumu maana ni sehemu yenye uasili na Kwa gharama kubwa watakao kidhi vigezo watarudi na kuishi kwenye Asili Yao Kwa Raha Sana maana Dunia itakua pepo milele na hakuna shida Tena Kwa sababu watakua wamefanikiwa kubalance nature.
Yajayo yanafurahisha hii Dunia watu wanakaa Wana program namna ya kuiendesha ila sababu sisi huku tunakula makande na kuwaza ngono
Haya mambo yanakua Kama masimulizi ya Alfu lela ulela,
Ila sishangai maana ukirudi miaka 1500's na umwambie Vasco da Gama kwamba kutoka Portugal to India tunatumia masaa tu kufika anaweza kukushut Kwa revolver yake Kwa porojo zako ila uhalisia tunaujua!
Tuwe tayari Kwa mabadiliko muda wowote Dunia inaenda Kasi Sana!
The Terrible!
𝑯𝒖𝒖 𝒖𝒛𝒊 𝒖𝒏𝒂𝒏𝒊𝒇𝒊𝒌𝒊𝒓𝒊𝒔𝒉𝒂Mzuka wanajamvi wa JT na great thinkers natumaini mpo powa na tunaendelea kusurvive chini ya jua,

Maelezo mareeeeeeefuu hoja kijiko.Mzuka wanajamvi wa JT na great thinkers natumaini mpo powa na tunaendelea kusurvive chini ya jua,

Aisee,yaani wewe ndiye unayedai hupo brainwashed,si upo brainwashed na Shetani na unasambaza uongo wake hapa!Acheni kuwadanganya watu na elimu yenu fake.Nilisema ni peep tu nione,hicho ninachokatazwa nisione,kumbe ni uongo mtupu.Huu ni uongo ule ule wa yule Joka wa zamani Lucifer.Kaiba concept ya Mungu katika Biblia Ufunuo 21:1,ambapo Biblia inasema,Mzuka wanajamvi wa JT na great thinkers natumaini mpo powa na tunaendelea kusurvive chini ya jua,
Husika na kichwa habari hapo juu,
Kwanza nipende kutoa onyo na tahadhari Kwa kundi Fulani Hivi la brain washed wakae Mbali na hii thread sababu itakua nje ya uwezo wao,ili tujadili mahaba ya Dini tuweke pembeni tuwe free kujadili mambo magumu na yenye ukweli mchungu ambao raia wengi hawaupendi
Ila Haina namna!
Nitaagusia kifupi sana hasa Kwa wavivu kusoma!
1.MBINGU MPYA
Wakuu Binadamu na watu wa Civilization hii wanapiga hatua kubwa kimaendeleo sayansi na teknolojia tunaona projects nyingi zinavumbuliwa Kila kukicha yaani tunaenda spidi ya kimbunga kwenye gunduzi kiasi kwamba tumefika level za kuprint watu,
Hapa namaanisha watoto wanafyatuliwa maabara nk,
Sasa Kuna hii project ya kufanya majaribio kwenye sayari ya Mars na kinara wa hiyo kazi ni ndugu Elon Musk na kampuni yake ya space x na tunaona jinsi inavyofanikiwa kwa Kasi ni kama ndoto za alinacha ila ndio hivyo inaenda kua kweli,
Baada ya hapo huko yataenda kujengwa makazi ya kisasa na raia grade one wataanza ishi huko na kuibadilisha sayari ya vumbi jekundu na miamba kua paradise,
Imagine jinsi lile jangwa la Dubai Miaka 20 iliyopita lilivyogeuzwa Jiji kubwa na lenye madhari ya kuvutia kiasi kwamba Leo mlugaluga akifika pale na kumwambia hapa palikua jangwa na eneo baya lisilifaa binadamu mwenye akili timamu kuweka makazi ataeweza akuzibue konzi Kwa ujuha wako unaomwambia maana aonacho ni maghorofa makubwa na mabustani mazuri ya kuvutia.
Sasa basi baada ya raia wa grade one kuhamishia makazi sayari ya Mars na
Kujenga mithili ya masimulizi ya Mbingu watu wa grade la chini Kama sisi huku Afrika tutaenda kutengeneza Hadith ya Mbingu mpya maana tutakua hatuna uwezo wa kufika huko sehemu yenye ustaarabu mkubwa na maisha ya Raha za ajabu pasipo dhiki maana huko Kila kitu kitaendeshwa Kwa ujuzi wa Hali ya juu kutokana na kukua Kwa science and technology Kwa kiwango Juu Cha mno!
Dunia itabaki sehemu ya mkakati maalumu na watakao Baki wale useless hakuna kitu watafanya zaidi ya kuleta shida kubwa na kuanza kufanya maasi wao Kwa wao na hakuna mtu atajali kuhusu hizo vurugu maana Kila kitu kitajiendea hovyo kutakua hakuna uongozi wa kidunia Kama ilivyo Leo UN na mataifa ya kuiongoza Dunia Ili ikalike hapo Kila mjuaji atafanya ajuavyo na Dunia itaharibika kabisa kwa uharibifu mkuu,
Ila kuna maeneo ya kimkakati yatatunzwa vizuri for future use
Baada ya yote hayo itapendekezwa raia wa Duniani wapunguzwe kabisa Kwa mbinu mbadala wabaki guardian wa kuitunza dunia na nature yake na itakua baadae salama na ni sehemu ya kutalii tu Tena Kwa gharama kubwa watu wakitoka mars huko wataona wamechoshwa na kuishi kwenye miji ya ajabu ya huko angani wakivutiwa na hali ya duniani.
2.NCHI MPYA
Baada ya sayari ya mars na wakazi wake kuchoshwa kuishi kwenye artificial Planet watatamani Sasa warudi kuishi duniani baada ya miaka mingi kupita,vuguvugu za Exodus zitaanza na wanaharakatj wengi watajitokeza kupigania kuirudia nchi mpya ya mababu zao na hapo utaandaliwa mpango maalumu wa kurejea wenye masharti magumu maana Dunia itakua Tena Kama bustani nzuri Sana na ya kuvutia na watakao kurudi watatakiwa kukidhi vigezo maalumu maana ni sehemu yenye uasili na Kwa gharama kubwa watakao kidhi vigezo watarudi na kuishi kwenye Asili Yao Kwa Raha Sana maana Dunia itakua pepo milele na hakuna shida Tena Kwa sababu watakua wamefanikiwa kubalance nature.
Yajayo yanafurahisha hii Dunia watu wanakaa Wana program namna ya kuiendesha ila sababu sisi huku tunakula makande na kuwaza ngono
Haya mambo yanakua Kama masimulizi ya Alfu lela ulela,
Ila sishangai maana ukirudi miaka 1500's na umwambie Vasco da Gama kwamba kutoka Portugal to India tunatumia masaa tu kufika anaweza kukushut Kwa revolver yake Kwa porojo zako ila uhalisia tunaujua!
Tuwe tayari Kwa mabadiliko muda wowote Dunia inaenda Kasi Sana!
The Terrible!
Huu uzi wako umenifikirisha. Siku zote mwenye uwezo kiuchumi mawazo yake ni tofauti na kapuku.usiangalie Kwa jicho la kawaida hizo project mkuu kumbuka tech inakua Kwa speed kubwa Sana Sana sidhani hiyo ishu ya maji kama tatizo maana kama Leo Wana mashine za kuprint vyakula Kwa kutumia mitambo ya 3d watashindwa maji tu Huko?
Ogopa technologia mkuu inaweza kufanya maajabu na ukabaki bumbuwazi!
kwamba kile cha kukorogea chai au sio,sawa mwamba nangoja zakoMaelezo mareeeeeeefuu hoja kijiko.
haaaaahaaaa dingi huyo shetani mbona una mfear sana kwamba hata tukitoa nadharia tuAisee,yaani wewe ndiye unayedai hupo brainwashed,si upo brainwashed na Shetani na unasambaza uongo wake hapa!Acheni kuwadanganya watu na elimu yenu fake.Nilisema ni peep tu nione,hicho ninachokatazwa nisione,kumbe ni uongo mtupu.Huu ni uongo ule ule wa yule Joka wa zamani Lucifer.Kaiba concept ya Mungu katika Biblia Ufunuo 21:1,ambapo Biblia inasema,
"Kisha nikaona mbingu mpya na nchi mpya; kwa maana mbingu za kwanza na nchi ya kwanza zimekwisha kupita, wala hapana bahari tena," halafu anakuja kudanganya the unsuspecting.Biblia inasema kazi ya Shetani ni kuchinja,kudanganya na kuharibu,na hapa yupo kwenye kazi yake moja wapo:kudanganya!
Na kuhusu wewe?Biblia inasema katika Yohana 8:44,
' Ninyi ni wa baba yenu Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa sababu yeye ni mwongo, na baba wa huo. "
una maoni gani baada ya Elon Musk kutuletea pisi kali Roboti zenye mbususu tamu kuzidi mwajuma ndala chafu au bado tuendeleze ubishi kwa keyboard huko mwamba akizidi fanya miujiza kua real?Siyo kila ndoto ni lazima uihadithie nyingine ni za kuusindikiza usiku wako tu wakati umepumzika.
Siyo kila unachoona kwenye muvi ukadhani ndicho nyingine ni imagination tu baada ya mtu kukosa maarifa kama wewe mleta mada
Yaani unawaita watu wa dini hawana akili halafu wewe na pumba zako hizi ndo mwenye akili? Ajabu!
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Simuogopi Shetani, si mpendi,kwa kuwa ni muuaji,mwongo na mharibifu. Kwako kutopenda na kuogopa ni sawa?haaaaah
haaaaahaaaa dingi huyo shetani mbona una mfear sana kwamba hata tukitoa nadharia tu
unapagawa halafu still unajiona mzima ?
tatizo lako upo horrow sana kuogopa kinyago ulichojichongea akilini mwako wake up c'moon!
mpende adui yako si maneno ya Yesu kristo kutoka kwa Mungu wako?Simuogopi Shetani si mpendi,kwa kuwa ni muuaji,mwongo na mharibifu.Kwa hiyo kwako kutopenda na kuogopa ni sawa?
Adui aliyekuwa anaongelea Bwana Yesu ni binadamu sio Shetani.Na hata binadamu alikuwa anaongelea mtu,sio matendo yake.Kama mtu ana matendo mabaya lazima uyachukie.mpende adui yako si maneno ya Yesu kristo kutoka kwa Mungu wako?
wewe hiyo mamlaka ya kumchukia Shetani umeyapa wapi na wakati amri kuu ni upendo!
shetani wewe kwako ana maslahi gani mpaka awe adui yako?Adui aliyekuwa anaongelea Bwana Yesu ni binadamu sio Shetani.Na hata binadamu alikuwa anaongelea mtu,sio matendo yake.Kama mtu ana matendo mabaya lazima uyachukie.
As a matter of interest,wewe mungu wako ni nani,maana ume address Mungu ninayemuabudu mimi kama "wangu."a
Nimeshasema kwamba ni muuaji,mwongo na mharibifu.shetani wewe kwako ana maslahi gani mpaka awe adui yako?
Hujanijibu swali langu, wewe Mungu wako ni nani?shetani wewe kwako ana maslahi gani mpaka awe adui yako?
Mimi ndie Mungu naejijua hakuna mwingine popote!Adui aliyekuwa anaongelea Bwana Yesu ni binadamu sio Shetani.Na hata binadamu alikuwa anaongelea mtu,sio matendo yake.Kama mtu ana matendo mabaya lazima uyachukie.
As a matter of interest,wewe mungu wako ni nani,maana ume address Mungu ninayemuabudu mimi kama "wangu."
Hujanijibu swali langu, wewe Mungu wako ni nani?
That is why you call yourself Dumas the terrible.Why terrible,naamini unachinja,unaiba na kuharibu kama baba yako Ibilisi.Yohana alisema vema kuhusu ninyi,alisema,Mimi ndie Mungu naejijua hakuna mwingine popote!