Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
- Thread starter
-
- #21
Atakufa ila anaandaa project ambayo watoto zake na kizazi chake wataenda kua miungu watu huko mars maana atatambulika miaka mingi baadae kama Masihi na kizazi chake ndio watakua wamiliki wa hiyo sayariKwamba mask akienda Mars hatakufa
100 series imehusika pakubwaaa na hii habari yako. Inatafakarisha sanaaMzuka wanajamvi wa JT na great thinkers natumaini mpo powa na tunaendelea kusurvive chini ya jua,
Husika na kichwa habari hapo juu,
Kwanza nipende kutoa onyo na tahadhari Kwa kundi Fulani Hivi la brain washed wakae Mbali na hii thread sababu itakua nje ya uwezo wao,ili tujadili mahaba ya Dini tuweke pembeni tuwe free kujadili mambo magumu na yenye ukweli mchungu ambao raia wengi hawaupendi
Ila Haina namna!
Nitaagusia kifupi sana hasa Kwa wavivu kusoma!
1.MBINGU MPYA
Wakuu Binadamu na watu wa Civilization hii wanapiga hatua kubwa kimaendeleo sayansi na teknolojia tunaona projects nyingi zinavumbuliwa Kila kukicha yaani tunaenda spidi ya kimbunga kwenye gunduzi kiasi kwamba tumefika level za kuprint watu,
Hapa namaanisha watoto wanafyatuliwa maabara nk,
Sasa Kuna hii project ya kufanya majaribio kwenye sayari ya Mars na kinara wa hiyo kazi ni ndugu Elon Musk na kampuni yake ya space x na tunaona jinsi inavyofanikiwa kwa Kasi ni kama ndoto za alinacha ila ndio hivyo inaenda kua kweli,
Baada ya hapo huko yataenda kujengwa makazi ya kisasa na raia grade one wataanza ishi huko na kuibadilisha sayari ya vumbi jekundu na miamba kua paradise,
Imagine jinsi lile jangwa la Dubai Miaka 20 iliyopita lilivyogeuzwa Jiji kubwa na lenye madhari ya kuvutia kiasi kwamba Leo mlugaluga akifika pale na kumwambia hapa palikua jangwa na eneo baya lisilifaa binadamu mwenye akili timamu kuweka makazi ataeweza akuzibue konzi Kwa ujuha wako unaomwambia maana aonacho ni maghorofa makubwa na mabustani mazuri ya kuvutia.
Sasa basi baada ya raia wa grade one kuhamishia makazi sayari ya Mars na
Kujenga mithili ya masimulizi ya Mbingu watu wa grade la chini Kama sisi huku Afrika tutaenda kutengeneza Hadith ya Mbingu mpya maana tutakua hatuna uwezo wa kufika huko sehemu yenye ustaarabu mkubwa na maisha ya Raha za ajabu pasipo dhiki maana huko Kila kitu kitaendeshwa Kwa ujuzi wa Hali ya juu kutokana na kukua Kwa science and technology Kwa kiwango Juu Cha mno!
Dunia itabaki sehemu ya mkakati maalumu na watakao Baki wale useless hakuna kitu watafanya zaidi ya kuleta shida kubwa na kuanza kufanya maasi wao Kwa wao na hakuna mtu atajali kuhusu hizo vurugu maana Kila kitu kitajiendea hovyo kutakua hakuna uongozi wa kidunia Kama ilivyo Leo UN na mataifa ya kuiongoza Dunia Ili ikalike hapo Kila mjuaji atafanya ajuavyo na Dunia itaharibika kabisa kwa uharibifu mkuu,
Ila kuna maeneo ya kimkakati yatatunzwa vizuri for future use
Baada ya yote hayo itapendekezwa raia wa Duniani wapunguzwe kabisa Kwa mbinu mbadala wabaki guardian wa kuitunza dunia na nature yake na itakua baadae salama na ni sehemu ya kutalii tu Tena Kwa gharama kubwa watu wakitoka mars huko wataona wamechoshwa na kuishi kwenye miji ya ajabu ya huko angani wakivutiwa na hali ya duniani.
2.NCHI MPYA
Baada ya sayari ya mars na wakazi wake kuchoshwa kuishi kwenye artificial Planet watatamani Sasa warudi kuishi duniani baada ya miaka mingi kupita,vuguvugu za Exodus zitaanza na wanaharakatj wengi watajitokeza kupigania kuirudia nchi mpya ya mababu zao na hapo utaandaliwa mpango maalumu wa kurejea wenye masharti magumu maana Dunia itakua Tena Kama bustani nzuri Sana na ya kuvutia na watakao kurudi watatakiwa kukidhi vigezo maalumu maana ni sehemu yenye uasili na Kwa gharama kubwa watakao kidhi vigezo watarudi na kuishi kwenye Asili Yao Kwa Raha Sana maana Dunia itakua pepo milele na hakuna shida Tena Kwa sababu watakua wamefanikiwa kubalance nature.
Yajayo yanafurahisha hii Dunia watu wanakaa Wana program namna ya kuiendesha ila sababu sisi huku tunakula makande na kuwaza ngono
Haya mambo yanakua Kama masimulizi ya Alfu lela ulela,
Ila sishangai maana ukirudi miaka 1500's na umwambie Vasco da Gama kwamba kutoka Portugal to India tunatumia masaa tu kufika anaweza kukushut Kwa revolver yake Kwa porojo zako ila uhalisia tunaujua!
Tuwe tayari Kwa mabadiliko muda wowote Dunia inaenda Kasi Sana!
The Terrible!
nilijua tu ,wafia dini hamtakosa humuKabla ya yote amini Mungu yupo na kwamba akili zake hazichunguziki! Hii dunia ameiumba kwa uwezo wake na iko siku ataikunja kama karatasi na kuichoma moto! Hizo theory zengine ni kuchoshana tu
yes yes mkuu ni kweli Ile100 series imehusika pakubwaaa na hii habari yako. Inatafakarisha sanaa
ok tufanye nimeangalia Hio movie Yako na nimeileta hapaHili haliwezekani, tuendelee kufurahishana tu. Hii story yako nahisi umeitoa kwenye movie fulani jina sikumbuki ila inaendana na hadithi yako.
sasa hii stori ina akili kubwa ipi mkuu? Yani kusimulia vitu ulivyosikia nayo ni akili kubwa? Hizi fiction tu, maisha Mars hayawezekaniki.ok tufanye nimeangalia Hio movie Yako na nimeileta hapa
Leo Nenda kaangalie Taifa stars na bha mutu ba Kongo wanavyokichapa hii maada imekuzidi kipimo pita Hivi,
Akili Kama zako utazikuta kwenye vichwa saizi yenu ila sio makosa yenu pole sana mr brain washed!
wewe Acha ubishi wa kijinga utachekwa hapa jamvini watu wapo project kukamilisha mpango wewe unaleta porojo hapa inawezekana hata hujui Nini kinaendelea huko duniani ila ubishi tu usio na maana kama waliweza Jenga intanational space setelait washindwe Jenga mars?sasa hii stori ina akili kubwa ipi mkuu? Yani kusimulia vitu ulivyosikia nayo ni akili kubwa? Hizi fiction tu, maisha Mars hayawezekaniki.
Kuprintije chakula? Hii ni kamba 100usiangalie Kwa jicho la kawaida hizo project mkuu kumbuka tech inakua Kwa speed kubwa Sana Sana sidhani hiyo ishu ya maji kama tatizo maana kama Leo Wana mashine za kuprint vyakula Kwa kutumia mitambo ya 3d watashindwa maji tu Huko?
Ogopa technologia mkuu inaweza kufanya maajabu na ukabaki bumbuwazi!
Ndiyo nimeshapinga mkuu haliwezekani na hawatakaa wakamilishe hiyo project zaid ya ku land tu huko.wewe Acha ubishi wa kijinga utachekwa hapa jamvini watu wapo project kukamilisha mpango wewe unaleta porojo hapa inawezekana hata hujui Nini kinaendelea huko duniani ila ubishi tu usio na maana kama waliweza Jenga intanational space washindwe Jenga mars?
inaonekana watu hamjui Nini kinaendelea Dunia ya kwanza mkuu amini nakuambia washaanza kuprint vyakula Kwa kuitumia 3d machines Kuna baadhi ya vyakula kama burgers na bites vinaprintiwa huko google hizo project zishwanza fanya kaziKuprintije chakula? Hii ni kamba 100
siendelei bishana Tena na wewe Baki na ujuha wako!Ndiyo nimeshapinga mkuu haliwezekani na hawatakaa wakamilishe hiyo project zaid ya ku land tu huko.
Unashangaa chakula wakati wanaproject had za kuprint nyumbaKuprintije chakula? Hii ni kamba 100
Bila source ya hii habari yako hatutaelewana. Mkuu amka kwenye huo usingizi wa pono haraka.inaonekana watu hamjui Nini kinaendelea Dunia ya kwanza mkuu amini nakuambia washaanza kuprint vyakula Kwa kuitumia 3d machines Kuna baadhi ya vyakula kama burgers na bites vinaprintiwa huko google hizo project zishwanza fanya kazi
Elimu! Elimu! Elimu!
Inamaana mimi ndo sielewi ama? Ama mmeamka na hangover mnakuja jf kutufunga kamba.Unashangaa chakula wakati wanaproject had za kuprint nyumba
sio unafungwa kamba jipige kifuani mara tatu kisha tamka maneno haya!Inamaana mimi ndo sielewi ama? Ama mmeamka na hangover mnakuja jf kutufunga kamba.
Sawa mkuu. Ila naomba source ya hiyo habari yako.sio unafungwa kamba jipige kifuani mara tatu kisha tamka maneno haya!
Mimi ni mjinga nisie taka kuelimika ila ubishi tu Kama Muha wa kigoma!
jamaa analeta ubishi wa kijinga nishampuuza jinga Kabisa jitu tunalipatia njia liende likajisomee huko Eti Bado linadai source ya taarifa katika ulimwengu huu wa teknolojia na hapo kashika smartphoneUnashangaa chakula wakati wanaproject had za kuprint nyumba
usipende kutafuniwa Kila kitu wewe ni mwanaume Nenda google na vyanzo vingine kaulizie 3d projectSawa mkuu. Ila naomba source ya hiyo habari yako.