Jinsi Project ya Mbingu mpya na Nchi mpya itakavyotengenezwa na itakavyofanikiwa

Jinsi Project ya Mbingu mpya na Nchi mpya itakavyotengenezwa na itakavyofanikiwa

Amna kitu yoyote Apo mnatishana tu nakuogopeshana kindezi .. wew ishi muamini mungu fanya kazi uishi Maisha yako ufe kifo chako utulie .. izo hatari majanga yalikuepo toka enzi na enzi dunia ilianza kua namajanga toka enzi za sodoma na gomora enzi za akina NUHU ndo ijekua leo .. dunia ilikuwa na watawala wakutisha wanejishi wakutisha wachawi wakutisha but walipita kivyao ..

Nawew cheza segere lako fanya madudu yako nenda Mars kaishi handaa empire yako ila tambua utapita tu kama walivyo pita wengine .. wew soma vitabu adi vyakichawi .. akuna kitu yoyote utafanya chakutisha Zaid ya ambavyo vilishatokea ..

Pamoja na uwepo wa SHETANI MAPEPO MAJINI Bado dunia ipo tu Sasa wew mwanadamu wakuishi miaka 60 unadanja ndo utafanya Nini Cha ajabu ..
 
jamaa analeta ubishi wa kijinga nishampuuza jinga Kabisa jitu tunalipatia njia liende likajisomee huko Eti Bado linadai source ya taarifa katika ulimwengu huu wa teknolojia na hapo kashika smartphone
Hahahaha majuha hawatawahi Isha duniani anapenda kutafuniwa sana sie wenyewe tulikua wabishi kama yeye ila tuakaja jua ni ujuha tu now ni mwendo wa kutafuta source ukigusiwa jambo lolote!
Mkuu kuuliza sio ujinga. Ila kwakuwa umesema niende Google, acha niende nikatafute source mwenyewe.
 
Amna kitu yoyote Apo mnatishana tu nakuogopeshana kindezi .. wew ishi muamini mungu fanya kazi uishi Maisha yako ufe kifo chako utulie .. izo hatari majanga yalikuepo toka enzi na enzi dunia ilianza kua namajanga toka enzi za sodoma na gomora enzi za akina NUHU ndo ijekua leo .. dunia ilikuwa na watawala wakutisha wanejishi wakutisha wachawi wakutisha but walipita kivyao ..

Nawew cheza segere lako fanya madudu yako nenda Mars kaishi handaa empire yako ila tambua utapita tu kama walivyo pita wengine .. wew soma vitabu adi vyakichawi .. akuna kitu yoyote utafanya chakutisha Zaid ya ambavyo vilishatokea ..

Pamoja na uwepo wa SHETANI MAPEPO MAJINI Bado dunia ipo tu Sasa wew mwanadamu wakuishi miaka 60 unadanja ndo utafanya Nini Cha ajabu ..
Soma mwenyewe ulichokiandika naona chenga chenga tu Hueleweki!
 
Mzuka wanajamvi wa JT na great thinkers natumaini mpo powa na tunaendelea kusurvive chini ya jua,
Husika na kichwa habari hapo juu,
Kwanza nipende kutoa onyo na tahadhari Kwa kundi Fulani Hivi la brain washed wakae Mbali na hii thread sababu itakua nje ya uwezo wao,ili tujadili mahaba ya Dini tuweke pembeni tuwe free kujadili mambo magumu na yenye ukweli mchungu ambao raia wengi hawaupendi
Ila Haina namna!
Nitaagusia kifupi sana hasa Kwa wavivu kusoma!

1.MBINGU MPYA
Wakuu Binadamu na watu wa Civilization hii wanapiga hatua kubwa kimaendeleo sayansi na teknolojia tunaona projects nyingi zinavumbuliwa Kila kukicha yaani tunaenda spidi ya kimbunga kwenye gunduzi kiasi kwamba tumefika level za kuprint watu,
Hapa namaanisha watoto wanafyatuliwa maabara nk,
Sasa Kuna hii project ya kufanya majaribio kwenye sayari ya Mars na kinara wa hiyo kazi ni ndugu Elon Musk na kampuni yake ya space x na tunaona jinsi inavyofanikiwa kwa Kasi ni kama ndoto za alinacha ila ndio hivyo inaenda kua kweli,
Baada ya hapo huko yataenda kujengwa makazi ya kisasa na raia grade one wataanza ishi huko na kuibadilisha sayari ya vumbi jekundu na miamba kua paradise,
Imagine jinsi lile jangwa la Dubai Miaka 20 iliyopita lilivyogeuzwa Jiji kubwa na lenye madhari ya kuvutia kiasi kwamba Leo mlugaluga akifika pale na kumwambia hapa palikua jangwa na eneo baya lisilifaa binadamu mwenye akili timamu kuweka makazi ataeweza akuzibue konzi Kwa ujuha wako unaomwambia maana aonacho ni maghorofa makubwa na mabustani mazuri ya kuvutia.

Sasa basi baada ya raia wa grade one kuhamishia makazi sayari ya Mars na
Kujenga mithili ya masimulizi ya Mbingu watu wa grade la chini Kama sisi huku Afrika tutaenda kutengeneza Hadith ya Mbingu mpya maana tutakua hatuna uwezo wa kufika huko sehemu yenye ustaarabu mkubwa na maisha ya Raha za ajabu pasipo dhiki maana huko Kila kitu kitaendeshwa Kwa ujuzi wa Hali ya juu kutokana na kukua Kwa science and technology Kwa kiwango Juu Cha mno!

Dunia itabaki sehemu ya mkakati maalumu na watakao Baki wale useless hakuna kitu watafanya zaidi ya kuleta shida kubwa na kuanza kufanya maasi wao Kwa wao na hakuna mtu atajali kuhusu hizo vurugu maana Kila kitu kitajiendea hovyo kutakua hakuna uongozi wa kidunia Kama ilivyo Leo UN na mataifa ya kuiongoza Dunia Ili ikalike hapo Kila mjuaji atafanya ajuavyo na Dunia itaharibika kabisa kwa uharibifu mkuu,
Ila kuna maeneo ya kimkakati yatatunzwa vizuri for future use
Baada ya yote hayo itapendekezwa raia wa Duniani wapunguzwe kabisa Kwa mbinu mbadala wabaki guardian wa kuitunza dunia na nature yake na itakua baadae salama na ni sehemu ya kutalii tu Tena Kwa gharama kubwa watu wakitoka mars huko wataona wamechoshwa na kuishi kwenye miji ya ajabu ya huko angani wakivutiwa na hali ya duniani.

2.NCHI MPYA
Baada ya sayari ya mars na wakazi wake kuchoshwa kuishi kwenye artificial Planet watatamani Sasa warudi kuishi duniani baada ya miaka mingi kupita,vuguvugu za Exodus zitaanza na wanaharakatj wengi watajitokeza kupigania kuirudia nchi mpya ya mababu zao na hapo utaandaliwa mpango maalumu wa kurejea wenye masharti magumu maana Dunia itakua Tena Kama bustani nzuri Sana na ya kuvutia na watakao kurudi watatakiwa kukidhi vigezo maalumu maana ni sehemu yenye uasili na Kwa gharama kubwa watakao kidhi vigezo watarudi na kuishi kwenye Asili Yao Kwa Raha Sana maana Dunia itakua pepo milele na hakuna shida Tena Kwa sababu watakua wamefanikiwa kubalance nature.

Yajayo yanafurahisha hii Dunia watu wanakaa Wana program namna ya kuiendesha ila sababu sisi huku tunakula makande na kuwaza ngono
Haya mambo yanakua Kama masimulizi ya Alfu lela ulela,
Ila sishangai maana ukirudi miaka 1500's na umwambie Vasco da Gama kwamba kutoka Portugal to India tunatumia masaa tu kufika anaweza kukushut Kwa revolver yake Kwa porojo zako ila uhalisia tunaujua!
Tuwe tayari Kwa mabadiliko muda wowote Dunia inaenda Kasi Sana!

The Terrible!
Mambo yanatokea duniani kwa sasa kuna vitabu ukisoma vinashangaza sana lkn ndio.mipango yao kuna jamaa anaitwa wilbur smith na wengineo wanaandika kuhusu New world au new world order vitabu hv vina.maandalizi ya mambo ya ajabu sana lkn kikubwa ni mambo ya kishetani kbsa yasiyo mpendeza Mungu yani yani huko tunakoenda uhai unaenda kushikiliwa na watu wakiminya tu sehem basi popote uliko unakufa kipindi cha kusema ukweli ni kama kujitakia Kifo ndio tunachokiendea.
 
jamaa analeta ubishi wa kijinga nishampuuza jinga Kabisa jitu tunalipatia njia liende likajisomee huko Eti Bado linadai source ya taarifa katika ulimwengu huu wa teknolojia na hapo kashika smartphone
Hahahaha majuha hawatawahi Isha duniani anapenda kutafuniwa sana sie wenyewe tulikua wabishi kama yeye ila tuakaja jua ni ujuha tu now ni mwendo wa kutafuta source ukigusiwa jambo lolote!
We nenda nae taratibu tu usitumie lugha kali utampoteza kabsaa
 
Bila source ya hii habari yako hatutaelewana. Mkuu amka kwenye huo usingizi wa pono haraka.
kuna cartoon moja nimeona hicho anachokisema jamaa. Ila katika uhalisia sifikirii kama inawezekana kabisa.
 
kuna cartoon moja nimeona hicho anachokisema jamaa. Ila katika uhalisia sifikirii kama inawezekana kabisa.
Bwashee endelea kunywa mbege na kuangalia mechi za Simba na yanga baaasi!
Huna uelewa wowote ule Juu ya mambo yanayoendelea duniani
Sikutukani ila nakuambia ukweli

Miaka ya 2000 ungemwambia mtu kutakuja kua na Simu ambazo ukipiga unamuona unayepigia angekuona una wazimu na kitu ambacho hakiwezekani ila Leo tunajionea uhalisia
Endelea kubisha utakuja shtuka watu ndio wanahama duniani na kuanzisha makazi mapya mars

Endelea kuamini haiwezekani ukidhania na wao wapo Shithole Kama wewe!
 
Mimi nakubaliana na hili Kwa sababu MELI YA TITANIC ilinipa mwanga hasa ukisoma hisoria yake , jinsi ilivyobuniwa kutengenezwa,idadi ya Vifo wakati inatengenezwa ,funga KAZI gharama za kupanda yaan VIP ndyoo maana Matajiri hawakufa wengi
 
Bwashee endelea kunywa mbege na kuangalia mechi za Simba na yanga baaasi!
Huna uelewa wowote ule Juu ya mambo yanayoendelea duniani
Sikutukani ila nakuambia ukweli

Miaka ya 2000 ungemwambia mtu kutakuja kua na Simu ambazo ukipiga unamuona unayepigia angekuona una wazimu na kitu ambacho hakiwezekani ila Leo tunajionea uhalisia
Endelea kubisha utakuja shtuka watu ndio wanahama duniani na kuanzisha makazi mapya mars
Endelea kuamini haiwezekani ukidhania na wao wapo Shithole Kama wewe!
sawa kijana endelea kupiga stori kijiwe kimepoa.
 
Kabla ya yote amini Mungu yupo na kwamba akili zake hazichunguziki! Hii dunia ameiumba kwa uwezo wake na iko siku ataikunja kama karatasi na kuichoma moto! Hizo theory zengine ni kuchoshana tu
[emoji1787][emoji1787] utapona tu ndugu yangu
 
Amna kitu yoyote Apo mnatishana tu nakuogopeshana kindezi .. wew ishi muamini mungu fanya kazi uishi Maisha yako ufe kifo chako utulie .. izo hatari majanga yalikuepo toka enzi na enzi dunia ilianza kua namajanga toka enzi za sodoma na gomora enzi za akina NUHU ndo ijekua leo .. dunia ilikuwa na watawala wakutisha wanejishi wakutisha wachawi wakutisha but walipita kivyao ..

Nawew cheza segere lako fanya madudu yako nenda Mars kaishi handaa empire yako ila tambua utapita tu kama walivyo pita wengine .. wew soma vitabu adi vyakichawi .. akuna kitu yoyote utafanya chakutisha Zaid ya ambavyo vilishatokea ..

Pamoja na uwepo wa SHETANI MAPEPO MAJINI Bado dunia ipo tu Sasa wew mwanadamu wakuishi miaka 60 unadanja ndo utafanya Nini Cha ajabu ..
[emoji28] hako kaujanja ka kutishia watu kifo mnakapenda. Kwa taarifa yako kitu chochote ambacho mtu anakawambia utaona baada ya kufa ni uongo mtupu
 
Kabla ya yote amini Mungu yupo na kwamba akili zake hazichunguziki! Hii dunia ameiumba kwa uwezo wake na iko siku ataikunja kama karatasi na kuichoma moto! Hizo theory zengine ni kuchoshana tu
Hao wenyewe walio kuletea dini wamesha achana nayo,imebaki kama utamaduni tu Science ndio mpango mzima.
 
Back
Top Bottom