Jinsi Simba ilivyopata point sita inazotamba nazo

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
Baada ya kuona kuwa in kikosi kibovu kuliko wakato wowote ule klabu ya Simba ilipoona imepangwa kundi moja na Raja, Horoya na Vipers wakaamua kuibomoa Vipers ili angalau wapate point 6. Wakamchukua Kocha wao ili wapate faida mbili katika mechi dhidi ya horoya kwanza Watakuwa wamevurugikiwa kuondokewa na kocha ghafla lakini pili kocha wa simba atakuwa anaijua vyema timu yake ya zamani (Vipers) na kwa kweli kwa hilo wamefanikiwa na kupata alama 6, sasa kimbembe ni kumfunga HOROYA na kama watafanikiwa kumfunga basi kuna AIBU kubwa ya taifa iwapo watapangwa na Mamelodi.

ikumbukwe si mara ya kwanza kwa Simba kutumia chupli chupli kufikia mafanikio Mwaka 2021 walimchukua kocha wa timu ya AL merreikh ya Sudan waliyekuwa nae kundi moja na kufanikiwa kubahatisha point 4 toka kwa Al merreikh na hatimae kwa msaada wa Corona wakaongoza kundi ila sasa kama ilivyo ada ROBO FAINALI NDO MWISHO WA CHUPLI CHUPLI wakapasuka na Kaizer Chiefs 4G na kuishia hapo .

POVU RUKHSA
 
Baada ya kuona kuwa in kikosi kibovu kuliko wakato wowote ule klabu ya Simba ilipoona imepangwa kundi moja na Raja, Horoya na Vipers wakaamua kuibomoa Vipers ili angalau wapate point 6
Wakamchukua Kocha wao ili wapate faida mbili katika mechi dhidi ya horoya kwanza Watakuwa wamevurugikiwa kuondokewa na kocha ghafla lakini pili kocha wa simba atakuwa anaijua vyema timu yake ya zamani (Vipers) na kwa kweli kwa hilo wamefanikiwa na kupata alama 6, sasa kimbembe ni kumfunga HOROYA na kama watafanikiwa kumfunga basi kuna AIBU kubwa ya taifa iwapo watapangwa na Mamelodi
ikumbukwe si mara ya kwanza kwa Simba kutumia chupli chupli kufikia mafanikio Mwaka 2021 walimchukua kocha wa timu ya AL merreikh ya Sudan waliyekuwa nae kundi moja na kufanikiwa kubahatisha point 4 toka kwa Al merreikh na hatimae kwa msaada wa Corona wakaongoza kundi ila sasa kama ilivyo ada ROBO FAINALI NDO MWISHO WA CHUPLI CHUPLI wakapasuka na makirikiri JWANENG GALLAXY hapo hapo KWA NKAPA HATOKI NTU
POVU RUKHSA
We Vipers unamuweza? Anyway wenye akili huko ni Jk na Sm.

Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya kuona kuwa in kikosi kibovu kuliko wakato wowote ule klabu ya Simba ilipoona imepangwa kundi moja na Raja, Horoya na Vipers wakaamua kuibomoa Vipers ili angalau wapate point 6. Wakamchukua Kocha wao ili wapate faida mbili katika mechi dhidi ya horoya kwanza Watakuwa wamevurugikiwa kuondokewa na kocha ghafla lakini pili kocha wa simba atakuwa anaijua vyema timu yake ya zamani (Vipers) na kwa kweli kwa hilo wamefanikiwa na kupata alama 6, sasa kimbembe ni kumfunga HOROYA na kama watafanikiwa kumfunga basi kuna AIBU kubwa ya taifa iwapo watapangwa na Mamelodi.

ikumbukwe si mara ya kwanza kwa Simba kutumia chupli chupli kufikia mafanikio Mwaka 2021 walimchukua kocha wa timu ya AL merreikh ya Sudan waliyekuwa nae kundi moja na kufanikiwa kubahatisha point 4 toka kwa Al merreikh na hatimae kwa msaada wa Corona wakaongoza kundi ila sasa kama ilivyo ada ROBO FAINALI NDO MWISHO WA CHUPLI CHUPLI wakapasuka na makirikiri JWANENG GALLAXY hapo hapo KWA NKAPA HATOKI NTU.

POVU RUKHSA
Kwahyo mechi ya Jwaneng ilikuwa ni robo final

Kweli ujinga ni kipaji.
 
Wewe ni wa kupuuzwa tu
 
Utopolo bhana,story ndefu halafu utumbo mtupu utafikiri unawaza Kwa kutumia makalio
 
... na kwa kweli kwa hilo wamefanikiwa na kupata alama 6, sasa kimbembe ni kumfunga HOROYA na kama watafanikiwa kumfunga basi kuna AIBU kubwa ya taifa iwapo watapangwa na Mamelodi.
Ndio ujinga wa mashabiki wa Yanga ulipo. Yaani Yanga wanaona ni heri watolewe mapema kuliko kukutana na Mamelodi 😁😁😁

Simba haina ujinga huo, maana magiant wengi tu imeshakutana nao kwenye viwanja tofauti, wakati mwingine inapata matokeo, wakati mwingine inakosa, na ndio mpira ulivyo. Unaitaka pepo halafu unaogopa kufa? Wee jamaa acha kuaibisha timu yako 😁😁😁
 
Pamoja na maelezo yako mareefuuu lakini kaa ufaham kwamba Simba ni miongoni mwa timu kubwa sana barani Afrika, kwa hapa Afrika Mashariki na Kati hakuna wa kubattle nae kabisa hata kama ni wabovu kama mnavyosema nyinyi!
Duuuh, Africa mashariki akuna wa kubattle na simba? Kichwa unacho ama umekiangusha mahala? Ukubwa wa timu tunaupima kwa vikombe ilivyobeba, ebu tuambie kikombe ambacho simba kakileta cha Africa ili ututhibitishie ukubwa wake, vinginevyo dishi limeyumba
 
Back
Top Bottom