Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 4,160
- 5,793
Ukute mtoa mada nae ana family
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umetumia lugha ngumu sana, sawa asante kwa mrejesho wako.Duuuh, Africa mashariki akuna wa kubattle na simba? Kichwa unacho ama umekiangusha mahala? Ukubwa wa timu tunaupima kwa vikombe ilivyobeba, ebu tuambie kikombe ambacho simba kakileta cha Africa ili ututhibitishie ukubwa wake, vinginevyo dishi limeyumba
Horoya tuna jambo letuMbu mbu mbu hawatoboi Kwa horoya + laja Casablanca
Tutusa hiloUkute mtoa mada nae ana family
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuambiaga wee ni chizi huamini, leo ndo umejionea mwenyewe ulivyo punguani.Mbu mbu mbu hawatoboi Kwa horoya + laja Casablanca
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongooooo na leo unasemajeeee???Kwa Simba sawa, kwa Yanga tukuite nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeee sanaaaa.Simba roba fainal out? Mbona Simba itapigwa "roba" hapa hapa kwenye makundi?
PoleeBaada ya kuona kuwa in kikosi kibovu kuliko wakato wowote ule klabu ya Simba ilipoona imepangwa kundi moja na Raja, Horoya na Vipers wakaamua kuibomoa Vipers ili angalau wapate point 6. Wakamchukua Kocha wao ili wapate faida mbili katika mechi dhidi ya horoya kwanza Watakuwa wamevurugikiwa kuondokewa na kocha ghafla lakini pili kocha wa simba atakuwa anaijua vyema timu yake ya zamani (Vipers) na kwa kweli kwa hilo wamefanikiwa na kupata alama 6, sasa kimbembe ni kumfunga HOROYA na kama watafanikiwa kumfunga basi kuna AIBU kubwa ya taifa iwapo watapangwa na Mamelodi.
ikumbukwe si mara ya kwanza kwa Simba kutumia chupli chupli kufikia mafanikio Mwaka 2021 walimchukua kocha wa timu ya AL merreikh ya Sudan waliyekuwa nae kundi moja na kufanikiwa kubahatisha point 4 toka kwa Al merreikh na hatimae kwa msaada wa Corona wakaongoza kundi ila sasa kama ilivyo ada ROBO FAINALI NDO MWISHO WA CHUPLI CHUPLI wakapasuka na Kaizer Chiefs 4G na kuishia hapo .
POVU RUKHSA
umekaa au umekaliwa ?Simba na yanga tunahitaji champions material needs money and time
Yanga robo fainal out
Simba roba fainal out
Npo nmekaa palee
Amekalia kitu kigumu chenye ncha butuumekaa au umekaliwa ?
Kwakweli, yale magoli ni mengi, manioko kabisa wale sijui horoya sijui urojo..!! Dah..!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongooooo na leo unasemajeeee???
Aibu yako hiii khaaaaah
UnajisikiajeMbu mbu mbu hawatoboi Kwa horoya + laja Casablanca
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongooo hebu tulia kwan,Kwakweli, yale magoli ni mengi, manioko kabisa wale sijui horoya sijui urojo..!! Dah..!!
Imekuwa tayari..!! Akahika ndololi! ndololi! pawakaa..!!! Akaika ndololii.!! Ndololii!! TAYARIIII..!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongooo hebu tulia kwan,
Vipi leo nyie waarabu inakuaje??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko ulisubiri match iishe kwan??Imekuwa tayari..!! Akahika ndololi! ndololi! pawakaa..!!! Akaika ndololii.!! Ndololii!! TAYARIIII..!!!!
NYANYUUU PA LIVEGA KUHYETU TIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII..!!
Its not OVER until its OVER..!!! Yaani nilisubiria mpaka majoloooooo..!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko ulisubiri match iishe kwan??
Mlongoo bhanaaa, uwiiiiih