Jinsi Simba ilivyopata point sita inazotamba nazo

Jinsi Simba ilivyopata point sita inazotamba nazo

Duuuh, Africa mashariki akuna wa kubattle na simba? Kichwa unacho ama umekiangusha mahala? Ukubwa wa timu tunaupima kwa vikombe ilivyobeba, ebu tuambie kikombe ambacho simba kakileta cha Africa ili ututhibitishie ukubwa wake, vinginevyo dishi limeyumba
Mkuu umetumia lugha ngumu sana, sawa asante kwa mrejesho wako.
 
Mbu mbu mbu hawatoboi Kwa horoya + laja Casablanca
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuambiaga wee ni chizi huamini, leo ndo umejionea mwenyewe ulivyo punguani.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaah
 
Baada ya kuona kuwa in kikosi kibovu kuliko wakato wowote ule klabu ya Simba ilipoona imepangwa kundi moja na Raja, Horoya na Vipers wakaamua kuibomoa Vipers ili angalau wapate point 6. Wakamchukua Kocha wao ili wapate faida mbili katika mechi dhidi ya horoya kwanza Watakuwa wamevurugikiwa kuondokewa na kocha ghafla lakini pili kocha wa simba atakuwa anaijua vyema timu yake ya zamani (Vipers) na kwa kweli kwa hilo wamefanikiwa na kupata alama 6, sasa kimbembe ni kumfunga HOROYA na kama watafanikiwa kumfunga basi kuna AIBU kubwa ya taifa iwapo watapangwa na Mamelodi.

ikumbukwe si mara ya kwanza kwa Simba kutumia chupli chupli kufikia mafanikio Mwaka 2021 walimchukua kocha wa timu ya AL merreikh ya Sudan waliyekuwa nae kundi moja na kufanikiwa kubahatisha point 4 toka kwa Al merreikh na hatimae kwa msaada wa Corona wakaongoza kundi ila sasa kama ilivyo ada ROBO FAINALI NDO MWISHO WA CHUPLI CHUPLI wakapasuka na Kaizer Chiefs 4G na kuishia hapo .

POVU RUKHSA
Polee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongooooo na leo unasemajeeee???

Aibu yako hiii khaaaaah
Kwakweli, yale magoli ni mengi, manioko kabisa wale sijui horoya sijui urojo..!! Dah..!!
 
Kwakweli, yale magoli ni mengi, manioko kabisa wale sijui horoya sijui urojo..!! Dah..!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongooo hebu tulia kwan,
Vipi leo nyie waarabu inakuaje??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongooo hebu tulia kwan,
Vipi leo nyie waarabu inakuaje??
Imekuwa tayari..!! Akahika ndololi! ndololi! pawakaa..!!! Akaika ndololii.!! Ndololii!! TAYARIIII..!!!!

NYANYUUU PA LIVEGA KUHYETU TIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII..!!
 
Imekuwa tayari..!! Akahika ndololi! ndololi! pawakaa..!!! Akaika ndololii.!! Ndololii!! TAYARIIII..!!!!

NYANYUUU PA LIVEGA KUHYETU TIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII..!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko ulisubiri match iishe kwan??
Mlongoo bhanaaa, uwiiiiih
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko ulisubiri match iishe kwan??
Mlongoo bhanaaa, uwiiiiih
Its not OVER until its OVER..!!! Yaani nilisubiria mpaka majoloooooo..!!
 
Back
Top Bottom