Seif Mselem
Senior Member
- Oct 16, 2023
- 161
- 526
- Thread starter
- #21
Exactly [emoji817]Kufanya chochote waweza tajirika
UNatakiwa. Kujiuliza swali moja tu je wateja wapo na Nina uwezo.wa kuwapata?
Ujasiliamali huanziii kujiuliza kuwa mtaji ninao? Mtaji waweza kopa nk baada ya kupata majibu ya maswali hayo mawili kwanza
Bila Kufanya MARKET RESEARCH Bora Usianze Biashara... Utachoma Mtaji.