Jinsi tulivyoiteka "Easter" nikiwa na shemeji yenu Maeneo!

View attachment 497267 Kuku, Bata na Mapochopocho kwa wingi...Si mnajua shemeji yenu anapenda misosi. Baada ya hapo ikaonekana isiwe tabu, ngoja tukajiachie maeneo fulani hivi tuondoe chumvi ya mwili.

Basi, tukafika maeneo! Tulichezea sana Maji. Mithili ya watoto vile! Shemeji yenu kafurahiiiii.

Tuhakikishe tunatumia vyema hizi holidays kuondoa stress za maofisini aisee! Happy Easter wana Jukwaa!

picha na: Kambonile
Hongera mkuu,ila una advantage kubwaa, mana hayo mabonge naskia yanawai kuchoka,hahaha kila cku we ndo mwamba hahahah, ulisoma alama za nyakati ktk choice,
 
View attachment 497267 Kuku, Bata na Mapochopocho kwa wingi...Si mnajua shemeji yenu anapenda misosi. Baada ya hapo ikaonekana isiwe tabu, ngoja tukajiachie maeneo fulani hivi tuondoe chumvi ya mwili.

Basi, tukafika maeneo! Tulichezea sana Maji. Mithili ya watoto vile! Shemeji yenu kafurahiiiii.

Tuhakikishe tunatumia vyema hizi holidays kuondoa stress za maofisini aisee! Happy Easter wana Jukwaa!

picha na: Kambonile

Sasa huyo chibonge unakazana naye vipi?
 
Back
Top Bottom