Jinsi Tundu Lissu Alivyojikaanga Kwa "Mafuta ya Taaluma Yake!!"

hapa ndipo mimi ninaposhangaa.
 
Tatizo la Tundu Lisu alinyweshwa maji ya chooni akiwa mdogo kwa ivo kumtukana mzazi wake na vurugu anazoendelea kufanya mbele ya macho ya watanzania wala si ajabu msameheni bure ila watanzania wenye akili timamu hawapaswi kumrudisha bungeni tena
 
Mkuu japokuwa nampinga Lissu lakini lugha uliyotumia sikubaliani nayo!
 
Imenikumbusha ile kesi ya dowans na tanesco, mahakama ilisema kama tanesco ilijua dowans sio kampuni halali mbona ilitumia umeme wake kwa zaidi ya miezi 3.
 
Nimegundua ata we uelewa wako NIBATILI maana hujaelewa Lisu aliyokuwa anaongea! mi nakubaliana na hotuba ya Lissu kwamba muungano wetu ni batili maana kama usingekuwa batili Nyerere angepeleka hati ya muungano umoja Wa mataifa

Kwa hiyo umoja mataifa hakuna hati ya muungano? Kuna jina ka Tanganyika?
 
Imenikumbusha ile kesi ya dowans na tanesco, mahakama ilisema kama tanesco ilijua dowans sio kampuni halali mbona ilitumia umeme wake kwa zaidi ya miezi 3.

Hoja yako ni ipi hasa?
 
Naona baada ya miaka 50 ndo macho yanaona na wasomi wa kwanza tz wanapatikana. Tulotangulia kujenga nchi na kuilinda tulikuwa vipofu na shule hazikuwepo hata sehemu za kuhifadhi kumbukumbu hazikuwepo.
 
Mkuu sielewei unataka kutuambia nini hapa..., Kwahio kama hayo yote ni Batili na hapa imepatikana nafasi ya kurekebisha vya kurekebisha visirekebishwe sababu ya huo so called ubatili uliosema ?

Anacotakiwa ni kukaa na kurekebisha kwa upole, lkn ukibatilisha kila kitu basi nawe unakuwa batili mwisho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…