tian
JF-Expert Member
- Jul 27, 2007
- 1,770
- 537
Mkuu mimi ni GT, hata kama hutakubali, wengine watakubali!!
Sikukubali kama nisivyo mkubali mwenyekiti wenu wa chama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mimi ni GT, hata kama hutakubali, wengine watakubali!!
Mimi nimetoa pointi tupu, ndio maana hujakanusha hata moja, yaani umeshindwa pa kuanzia! Mimi nimekubali kuwa Muungano wetu ni BATILI, ila Lissu naye amechangia katika kuendeleza mambo BATILI. Au tuseme amegundua juzi tu wakati anaandaa Ripoti ya Wachache kuwa MUUNGANO WETU NI BATILI?
Tatizo la Tundu Lisu alinyweshwa maji ya chooni akiwa mdogo kwa ivo kumtukana mzazi wake na vurugu anazoendelea kufanya mbele ya macho ya watanzania wala si ajabu msameheni bure ila watanzania wenye akili timamu hawapaswi kumrudisha bungeni tena
Nimegundua ata we uelewa wako NIBATILI maana hujaelewa Lisu aliyokuwa anaongea! mi nakubaliana na hotuba ya Lissu kwamba muungano wetu ni batili maana kama usingekuwa batili Nyerere angepeleka hati ya muungano umoja Wa mataifa
Hoja yako ni ipi hasa?
Mkuu sielewei unataka kutuambia nini hapa..., Kwahio kama hayo yote ni Batili na hapa imepatikana nafasi ya kurekebisha vya kurekebisha visirekebishwe sababu ya huo so called ubatili uliosema ?